yatima
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 354
- 130
Nadhani ni ufinyu wa mawazo tu walionao baadhi ya wanawake. Wengi wao hawataki kujikubali vile walivyo. Nadhani hakuna mwanamke mbaya, isipokuwa ni kujitambua na kujikubali tu! Haijalishi wewe umepigwa pasi au mweusi, believe me kuna mwanaume atakupenda sana tu jamani. Maintain what God gave you! Sipendi kabisa wanawake wanaomkosoa Mungu aliyewaumba!Mwe HEBU MIKUBALI VILE MLIVYO NDO MTAPENDWA ZAIDI OTHERWISE WANAUME TUTAISHIA KUWAMEGA NA KUWAACHA!Katika kujenga familia wanaume hutafuta (mke) na sio (mwanamke).
:crazy:
Sasa uchague kuwamega hao??? Si uwamege walio natural???? Mbona una-ji contradict???? Kama unaona wanakosea na huwapendi - ACHA KABISA - sio unamweka NATURAL NDANI - na UNAMEGA ARTIFICIAL - WEWE SI NDIO YULE YULE MMOJA??????? SEMA UKWELI..............UNAWAMEGA KWA VILE UNAWAPENDA!!!!