Akina dada bwana!, fedha au ufike kileleni, chagua moja,

mbona kitu kiko wazi 'mtego wa noti'. Ni hivi yeye hana mapenzi na ww ndo maana anakuchuna(mizinga). Na ww huna mapenzi na yy ndo maana unalalamikia vitu vidogo ambavo ulitakiwa kuvifanya kama wajibu wako. Simply wote hampendani.
 
lakini isiwe kama toa kitu nikupe kitu ... suala la pesa la saloon ni la kawaida lakini lisiwe la kudai kiasi hicho maana ukishamvua chupi zinaanza vocha wakati hata sms hutumiwi ya asante, kunch , beer , etc ina maana unanivulia chupi kwa ajili ya kukuhudunia??? je ukipanua miguu hupati raha ?? nii sababu ya kutesana wakati wote tunatakiwa kuenjoy tendo na kufika kwenye kilele cha mlima???
Huyo ni mchunaji bana sio mpenzi....na ndio mana anadai chake mapema....
 
mbona kitu kiko wazi 'mtego wa noti'. Ni hivi yeye hana mapenzi na ww ndo maana anakuchuna(mizinga). Na ww huna mapenzi na yy ndo maana unalalamikia vitu vidogo ambavo ulitakiwa kuvifanya kama wajibu wako. Simply wote hampendani.
Sante mkuu..... Sredi klozidi.
 
wape vidonge vyao.......! mwingine utasikia anasema ngoja nikae/nifanye hivi ndo nafurahi/namaliza.........shiite!
 
wape vidonge vyao.......! mwingine utasikia anasema ngoja nikae/nifanye hivi ndo nafurahi/namaliza.........shiite!
mi siku izi wakti namuweka sawa demu yoyote, namuuliza...unataka nikulipe nile nisepe au na wewe ufike kilimanjaro?!!!!!
 
Hivi nyie mnajadili habari ya uzinzi kwa kuipamba dhambi, mwasemaje?! Kubanjua amri ya sita (ya Yehova Mungu Mtakatifu)?!
Mcheni Mungu enyi watu wote.
 
Hivi nyie mnajadili habari ya uzinzi kwa kuipamba dhambi, mwasemaje?! Kubanjua amri ya sita (ya Yehova Mungu Mtakatifu)?!
Mcheni Mungu enyi watu wote.
kwani kufanya tendo la ngono siyo kuvunja amri ya sita? sasa unakataa nini?
 
Ningekuwa mie ningeacha uznz kbs.mana umaskn unakusogelea taratbu kwa kuchunwa
 
Mi huwa nawashangaa sana madada,
Nimekupeleka lunch,... nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara baada ya shughuli, unadai eti hela...huwa mnasemaga hivi....., ooh, nifanyie mpango nikanywe supu....ooh, nataka nauli ya taxi nirudi nyumbani.,....halafu hizi kucha nataka nikazibadilishe rangi.... Sasa kama unataka nikugharimie kihivyo, ya nini utake nihangaike vilevile kukufikisha kunako kilele cha kibo? Yaani wewe unapata faida mara mbili.....Ungechagua moja kati ya haya...kufika kibo au hela na siyo kupata vyote kwa pamoja. Mbona mnataka kutupunja sisi wanaume?
Kuanzia sasa, ukigharimiwa basi sahau suala la kufikishwa kibo, ukitaka ufikishwe kibo basi na wewe uchangie gharama za maandalizi ya shughuli.......[/ Mkuu umefikiria mbali, maana wadada wengine kuwafikisha kunako kibo inakuwaga issue...!, pole sana mkuu, maana mpaka kuilita jamvini inaelekea u'shawahi kukutana na kimbembe, siku nyingi ukiona ngoma inakuwa nzito omba msaada tukusaidie...teh teh]
 
Back
Top Bottom