Akiba yako kiasi gani na imekaa muda gani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,850
45,616
Samahanini sana Nina swali mimi watu kibao wanaonishauri mambo ya fedha wananikumbusha kujiwekea akiba kwa ajili ya dharura na wanajinasibu kabisa wao wanaweka akiba ipo imetulia sehemu.

Huwa najiuliza mbona vipindi vingi hata wao hulia knock je kweli uwe na akiba na ujibane usitumie uishi maisha ya dhiki.

Anyway swali sio Kwa wafanyabishara wao wanazungusha hela kila siku nataka wanijibu wafanyakazi umeweka kiasi gani cha akiba na ni muda gani Mpaka sasa hujakigusa kabisa.
 
Back
Top Bottom