TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,041
Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015.

Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
 
Babu una motoooo, kimsingi usizitegemee sana badala yake angalia plan b ya kukuvusha,ukizitegemea sana alafu ukakosa utakuwa disappointed sana. Ikitokea umepata sema Asante Mungu na ata ukikosa pia shukuru na songa mbele with your life.
 
Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015. Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
Kumbe una degree ya education na ww
 
Kumbe una degree ya education na ww
Hapana!! Ni typing error kwenye title ya uzi. Badala ya "itatoka" nikaandika kwa makosa "nitatoka" Naomba moderators wasaidie kurekebisha title isomeke "...........ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itaoka?"
Mimi ni afisa mstaafu kwenye utumishi wa umma tangu 2019. Ninawapambania vijana ninaowaona mitaani wakiteswa na ukosefu wa ajira!!
 
Babu una motoooo, kimsingi usizitegemee sana badala yake angalia plan b ya kukuvusha,ukizitegemea sana alafu ukakosa utakuwa disappointed sana. Ikitokea umepata sema Asante Mungu na ata ukikosa pia shukuru na songa mbele with your life.
Asante kwa kuniita babu wala haujakosea kwa hapo!! Ila ulipokosea ni kudhani na mimi natafuta ajira!! mimi ni afisa mstaafu kwenye utumishi wa umma!!
 
Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015.

Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
Tulia kijana acha papara, PDF ikitolewa ukawa haupo utaanza tena kuuliza ni lini Tamisemi watatangaza ajira mpya za walimu na afya.
 
Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015.

Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya
Kuanzia katikati ya mwezi June
 
Kutoka zitatoka usiwe na wasiwasi lakini si vibaya tukakumbushana tena kuwa walimu wa arts mlikuwa hamuitajiki hili tuliseme mapema kabisa msije mkaanza kulia na kuleta usumbufu humu pindi PDF itakapo toka .
Ila nafasi zao zilikuwa zinapatikana kwenye mfumo kwa shule za msingi na baadhi ya shule za sekondari!! Kuna waliuoomba na watapata!! Halafu asiyeomba ataona kama amepigwa chenga ya kisigino na ataanza kulalamika!!. Waliohitimu kabla ya 2015 hawakuwa wanahitajika, lakini ukikuta mtu aliomba na akapata usilalamike. Ni kwamba ametumia kanuni ya kutokukatishwa tamaa na Mungu akambariki!!
 
Back
Top Bottom