johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,349
- 146,913
Baada ya Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh Lema kusema kuwa Bodaboda Siyo Ajira sasa pamezuka ajira mpya ghafla
Bodaboda sasa wanajitambulisha kama Maafisa Usafirishaji
Vijana wa Kubet wanajiita Maafisa Ubashiri
Wahudumu wa m pesa nao wanajiita Wahasibu wa mtandao
Kwa mbali nauona Ukombozi wa Nabii Lema
Bodaboda sasa wanajitambulisha kama Maafisa Usafirishaji
Vijana wa Kubet wanajiita Maafisa Ubashiri
Wahudumu wa m pesa nao wanajiita Wahasibu wa mtandao
Kwa mbali nauona Ukombozi wa Nabii Lema