Samahani wapendwa sijui ni Mimi tu, sijawahi kuona kazi zikitangazwa tamisemi, sasa sijui tamisemi wafanyakazi hawastaafu, au hawahamishwi au hawaachi kazi? Naomba tusaidiane, Mimi binafsi natamani sana kufanya kazi na hiyo taasisi, kila nkichungulia magazeti wapi, kwenye mitandaao ndo kabisa. Sijawahi ona wakitangaza, msaada plz