Ajira: Secretary Anahitajika

grndossy

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
311
80
Anatakiwa haraka binti mwenye utaalamu wa computer hasa Microsoft word, Excel, graphic design n.k. Awe na uzoefu wa kutosha katika kutengeneza kadi za matukio mbalimbali, vitambulisho vya aina mbalimbali, matangazo n.k. Awe na umri kati ya miaka 18 na 25; awe na kauli nzuri kwa wateja, aweze kufanya kazi zote za ofisi bila kusimamiwa.

Awe ni mtu anayejiheshimu mwenyewe na kuwaheshimu wengine na awe mwaminifu. Mshahara na marupurupu ni maelewano. Tuma maombi yako kwa Marukeny Enterprises S.L.P 45329 Dar es salaam. Ambatisha vyeti vyako na picha yako. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 26/02/2014.

Kwa maelezo zaidi Piga simu na. 0754599929 au 0715599929 kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11jioni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom