Ajira kwa mwalimu wa masomo ya computer na chemistry

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,826
5,451
Natafuta ajira ya ualimu masomo ya computer na chemistry(temporal). Nina degree ya ualimu, BED SC ICT kutoka UDOM. Nko tayar kufanya kazi sehem yoyote.
 
unafundisha computer na chemistry???chuo umesoma masomo gani ya kufundishia???alafu udom ndo mnafundishwa kuandika hivyo kama unaomba kazi yakufundisha??
 
Kwenye shule anayosoma mwanangu juzi wazazi tulikaa kama kamati na kupitisha kwa kauli moja kuwa hatutaki watoto Wetu wafundiahwe na walimu kutoka UDOM.
Kwa maneno mengine hatutaki kuona shule ile ikiajiri mwalimu toka UDOM. Kuna sabb nyingi zilitolewa hadi kufikia uamuzi huo.

Mojawapo ni ufinyu wa weledi wa ualimu na uelewa wa masomo wanayofundisha (narrow teaching professionalism and poor mastery of the subjects).
 
Udom ni jipu sana asee,inadahili watu wenye sifa finyu na ubaya inakaa nao miaka mitatu na kuwatoa wakiwa na ufinyu wao,laiti vyuo vingekua na mtiani mmoja ktk u.e basi majority wa dom wangedisco
 
Mkuu sidhani sababu ni kuchukuwa wanafunzi wenye sifa finyu. Sababu kubwa na ambalo ni tatizo kubwa kwa vyuo vyetu vyote hapa nchini. Wanachukuwa wanafunzi wengi mno. Yaani hakuna standard. ndiyo maana graduates wetu wengi hasa wa hii miaka ya hivi karibuni 70% ni wabovu kweli kweli. Mtu ana degree lakini hawezi kuandika technical report.
Hebu fikiria hicho kitu.. mie hao nimekutana nao kama wanne na wametoka vyuo tofauti.
Ni kweli tunawasomi wengi, lakini watapoingia makazini, utajiuliza hivi kweli huyu alikuwa anasoma au kafuata cheti tu?
 
Duh acheni kuwakatisha tamaa mpeni kazi apime uwezo wake ila unafundisha chemistry na computer mh hapo mbona kama unatuchanganya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom