Ajira katika secta ya benki na sehemu zingine, Tanzania

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,846
28,578
Wadau habari zenu,nina uzoefu mdogo wa kufanya kazi bank kama intern wa Cash &ATM custodian kwa miez 4,ktk bank fulani hapa town.kama 2juavyo mara nyingi ukiwa intern ni rahisi kujiriwa ktk bank hyo ila kwetu mambo yalikuwa tofauti kwa madai kuwa nafasi za ngazi ya kuanzia kama cashier,customer adviser na zingne,hazikuwepo kwa kipindi hicho, hvyo nafasi zikitoka watatu consider,ni miez 4 hadi leo bado hawajatuita.

Baada ya hapo niliendelea kutafuta kazi bank mbalimbali na sehemu zingine,nikiamini ya kuwa itakuwa rahisi kupata bank kutokana na uzoefu mdogo nilio nao lakini mambo ni tofauti kabisa.hivi majuzi nilipeleka CV yangu M bank haikupokelewa kwa madau kuwa hawapokei CV direct bali lazima ipitie kwa mtu anayefanya Kazi bank hyo ndo aipeleke!.nilidhania yule dada wa recptn ananitania nikamuuliza tena hivi unamanisha akasema ndio na ni kwa sababu za usalama na akaniambia karibu mabenki yote yanafanya hivyo,kwa kweli nilitoka pale kama nimechanganyikiwa fulani'

Wadau nina degree ya uchumi,na uzoefu ktk maswala ya u cashier na utunzaji wa fedha niliopata bank kama intern na uzoefu wa sales/mauzo niliopata katika kampuni jingine,Pia mimi ni Mwaminifu sana. Kwa sasa maisha yngu ni magumu sana nipo Dar kwa ndugu zangu ninawaomba msaada wenu nipate kazi nami nionyeshe talents na skills zangu, pia nipate knowledge na exprience.

Pia ninaowaombeni kama kuna mtu yumo humu au ana jamaa yake anafanya kazi M bank au bank au sehemu yyt anisaidie kunipelekea CV yangu /kuniunganisha na kazi.

Nawasilisha na kukaribisha maoni,na mawazo yenu.
 
Kk hii,ni username tu kwny huu mtandao,haimanishi IQ yng ni zero ni jina tu nilipenda n2mie na vyeti vyng situmii hili jina
 
Degree ya uchumi na uteller wapi na wapi tena!?

Elimu zetu hizi!!!
 
Wadau habari zenu,nina uzoefu mdogo wa kufanya kazi bank kama intern wa Cash &ATM custodian kwa miez 4,ktk bank fulani hapa town.kama 2juavyo mara nyingi ukiwa intern ni rahisi kujiriwa ktk bank hyo ila kwetu mambo yalikuwa tofauti kwa madai kuwa nafasi za ngazi ya kuanzia kama cashier,customer adviser na zingne,hazikuwepo kwa kipindi hicho, hvyo nafasi zikitoka watatu consider,ni miez 4 hadi leo bado hawajatuita.

Baada ya hapo niliendelea kutafuta kazi bank mbalimbali na sehemu zingine,nikiamini ya kuwa itakuwa rahisi kupata bank kutokana na uzoefu mdogo nilio nao lakini mambo ni tofauti kabisa.hivi majuzi nilipeleka CV yangu M bank haikupokelewa kwa madau kuwa hawapokei CV direct bali lazima ipitie kwa mtu anayefanya Kazi bank hyo ndo aipeleke!.nilidhania yule dada wa recptn ananitania nikamuuliza tena hivi unamanisha akasema ndio na ni kwa sababu za usalama na akaniambia karibu mabenki yote yanafanya hivyo,kwa kweli nilitoka pale kama nimechanganyikiwa fulani'

Wadau nina degree ya uchumi,na uzoefu ktk maswala ya u cashier na utunzaji wa fedha niliopata bank kama intern na uzoefu wa sales/mauzo niliopata katika kampuni jingine,Pia mimi ni Mwaminifu sana. Kwa sasa maisha yngu ni magumu sana nipo Dar kwa ndugu zangu ninawaomba msaada wenu nipate kazi nami nionyeshe talents na skills zangu, pia nipate knowledge na exprience.

Pia ninaowaombeni kama kuna mtu yumo humu au ana jamaa yake anafanya kazi M bank au bank au sehemu yyt anisaidie kunipelekea CV yangu /kuniunganisha na kazi.

Nawasilisha na kukaribisha maoni,na mawazo yenu.

Ukitaka Kazi kwenye mabenk kiulaisi nenda kasome zile short course za tiob ..especially ile ya cpb utaona mwenyewe
 
Tiob stand for tanzania insitute of bankers ni professional association ya bankers kama ilivo nbaa na psptb,,,current chairman ni Dr charles kimei
 
Back
Top Bottom