Ajinyonga kwa kuitwa Cameron

Ni kweli kijana amejifanyia ukatili wa kutisha kwa
Kujinyonga hadith kufa sababu alizoziacha
Ni anasema ameamua kujiua baada ya kunyang'anywa girl friend na huyo binti inaelekea alikuwa nae tangu
Form 5na6 na wakahamia wote hapo chuoni
Mwanza kufika mwanza ndipo binti alipomsaliti na huyo
Aliemchukua akatengeneza genge la marafiki ambao kazi yake ikawa kumzomea na kumtania hichi ndicho kimepelekea akose raha na kujiua. Marehemu ni mdogo wangu kabisa :alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza sheria.jinalake. SEIYA JEROME DOMINICK:

Pole sana na msiba Mkuu.
 
Mbona sababu yenyewe ni ndogo mno alitakiwa kubaki kuongeza nguvu ya mapambano, RIP lakini amekufa kizembe mno na hayumo katika list ya mashujaa.
 
sure man,hayupo kabisa katika list ya mashujaa
 
inawezekana kuna sababu zaidi ya hiyo kuitwa shoga. ugumu wa maisha na kutopata boom nadhani ndio chanzo
 
Belinda kama kuona huoni hata kusikia nako shida? Ok! Kwa kifupi Cameron wanatumia jina hilo kurefer watu wanaojihusisha na shughuli za kishoga/kisenge<ashakhum>
Hee Chilli, makubwa madogo yana afadhali..yani nilikuwa sijaelewa kabisa..kwanza uhusiano wa hilo jina na shogaz upoje??
Anyway pole yake, labda alikuwa na msongo wa mawazo ikachangia kujimaliza.
 
Sijaona mchagga mwenye maamuzi kama haya. si vema kumsema marehemu, lakini mhm?

Mkuu, wachaga unaowajuwa ni wa zamani siyo wa siku hizi, wamebadilika sana katika aspects nyingi sana, ikiwa pamoja ktk mapenzi. Si kwa wanaume au wanawake!!! Evolution!!!

All the same, RIP!!!
 
I wonder how this issue will be looked upon in the next 50 years or the Tanzanians Future generation.... I am scared of the whole shebang's future!

Asha u don't have that long to ponder ,just wait for ten yrs!
 
iko chuo kila mwaka anajinyonga mwanafunzi loh! cjui kina nn jamani loh!
wanaitaji maombi huo mukoa loh!
 
Hee Chilli, makubwa madogo yana afadhali..yani nilikuwa sijaelewa kabisa..kwanza uhusiano wa hilo jina na shogaz upoje??
Anyway pole yake, labda alikuwa na msongo wa mawazo ikachangia kujimaliza.

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameroon alitaka nchi za Commonwealth zitutanbue haki za mashoga, otherwise Uingereza itatunyima misaada. Tokea hapo ushoga umeitwa U-Cameron.
 
Ni kweli kijana amejifanyia ukatili wa kutisha kwa
Kujinyonga hadith kufa sababu alizoziacha
Ni anasema ameamua kujiua baada ya kunyang'anywa girl friend na huyo binti inaelekea alikuwa nae tangu
Form 5na6 na wakahamia wote hapo chuoni
Mwanza kufika mwanza ndipo binti alipomsaliti na huyo
Aliemchukua akatengeneza genge la marafiki ambao kazi yake ikawa kumzomea na kumtania hichi ndicho kimepelekea akose raha na kujiua. Marehemu ni mdogo wangu kabisa :alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza sheria.jinalake. SEIYA JEROME DOMINICK:
Pole sana ndugu...
Kama unahitaji kuongea zaidi ili kupunguza fikira please jiskie huru, PM me...
 
Belinda kama kuona huoni hata kusikia nako shida? Ok! Kwa kifupi Cameron wanatumia jina hilo kurefer watu wanaojihusisha na shughuli za kishoga/kisenge<ashakhum>

298263_10150283344671380_513536379_7462883_5097404_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom