Ajinyonga kwa kuitwa Cameron

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Kuna tetesi kuwa mwanafunzi mmoja wa Chuo cha SAUT jijini Mwanza amejinyonga juzi. Habari zinasema marehemu aliacha ujumbe ukileza kuwa sababu za kujinyonga ni wenzake kumwita Cameron. Mwenye taarifa zilizodhibitishwa atufahamishe. Mwezi Septemba mwaka jana mkazi wa Kinondoni Deogras Paul alikutwa chumbani kwake akiwa amejinyonga kwa kutumia shuka kwa kile kilichodai kuitwa ‘shoga' na majirani zake.
 
Hii abari ni ya kweli.Nilikua naelekea pale Uwanja wa mpira kuwaona jamaa zangu fulani.wakati nafika uwanjani hapo kulikua kuna match inaendelea kati ya wanafunzi wa LLB na kozi nyingine ambayo nimeisahau.Halafu kulikua na promotion ya watu wa Airtel.sasa wakati naingia uwanjani hapo nikaona wimbi la wanafunzi likikimbilia upande wa chini wa majengo yale mapya ya SAUT, sasa tukiwa tunajiuliza kulioni baadhi ya wanafunzi waliotokea upande huo wakatuambia kuna mwanafunzi wa mwaka wa kwanza LLB amejinyonga kwa kamba ya katani.Ilituhuzunisha sana .

Hiyo ilikua tisa kumi wakati watu wanajiuliza kulikoni,wengine walisema mara nyingi wanafunzi huwa wanajiua either kwa kufeli mitihani ambayo kwa pale haikua issue kwasababu mitihani bado,wengine wakasema itakua issue ya mapenzi.sasa katika issue hiyo ya mapenzi wakasema nanukuu" Project ya mama Mkapa ya kulea na kusomesha watu walioathirika na VVU imewamwaga vijana wengi walioathirika katika vyuo tofauti tofauti humu nchini" Hivyo watu wakahisi asije kuwa kakanyaga mmoja wapo.

Hivyo ndivyo hali ilivyokua.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
sasa ukweli ni upi? kajinyonga kwa kuitwa Cameroon au sababu ni hizo tetesi za kukanyaga mmoja wa watoto wa project wa mama mkapa?
 
Poleni sana wafiwa. Mtu anapoamua kujiua huwa inagusa hisia za watu wengi.
Mungu ailaze roho ya marehemu panapostahili.
 
humu ndani wengi wangekuwa wameshakufa maana wengi wanaitwa cameroon.
 
I wonder how this issue will be looked upon in the next 50 years or the Tanzanians Future generation.... I am scared of the whole shebang's future!
 
Kuna tetesi kuwa mwanafunzi mmoja wa Chuo cha SAUT jijini Mwanza amejinyonga juzi. Habari zinasema marehemu aliacha ujumbe ukileza kuwa sababu za kujinyonga ni wenzake kumwita Cameron. Mwenye taarifa zilizodhibitishwa atufahamishe. Mwezi Septemba mwaka jana mkazi wa Kinondoni Deogras Paul alikutwa chumbani kwake akiwa amejinyonga kwa kutumia shuka kwa kile kilichodai kuitwa ‘shoga' na majirani zake.
People, let's think twice before we spit our venom... Bila midomo ya watu hawa wawili wangekua bado ni wazima. Hivi pilipili usi kula wewe inakuwasha vipi hadi ukaamue kung'oa mti mzima? Kweli kuna cultural issue ila sio to the extend ya kuwanyanyasa wahusika hadi waamue kuiaga dunia.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
kwa kweli Mungu na waungwana shetani na wahuni-mwisho wa kunukuu.
 
Ni kweli kijana amejifanyia ukatili wa kutisha kwa
Kujinyonga hadith kufa sababu alizoziacha
Ni anasema ameamua kujiua baada ya kunyang'anywa girl friend na huyo binti inaelekea alikuwa nae tangu
Form 5na6 na wakahamia wote hapo chuoni
Mwanza kufika mwanza ndipo binti alipomsaliti na huyo
Aliemchukua akatengeneza genge la marafiki ambao kazi yake ikawa kumzomea na kumtania hichi ndicho kimepelekea akose raha na kujiua. Marehemu ni mdogo wangu kabisa :alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza sheria.jinalake. SEIYA JEROME DOMINICK:
 
Sijaona mchagga mwenye maamuzi kama haya. si vema kumsema marehemu, lakini mhm?
 
poleni wafiwa nlichoskia ni wivu wa mapenzi baada ya kuachwa na demu wake hapo chuoni na si kuitwa jina cameroon
 
humu ndani wengi wangekuwa wameshakufa maana wengi wanaitwa cameroon.

Hatufahamiani kwa majina halisi humu hivyo impact yake ni little ama hakuna kabisa unapozushiwa allegations hizi. Fikiria wewe tuseme unaitwa X Y uzushiwe hilo mtaani kwenu na kila upitapo story ndio iwe hiyo utafanyaje? Kumbuka watu wanatofautiana kiwango cha kuabsorb shock
 
Belinda kama kuona huoni hata kusikia nako shida? Ok! Kwa kifupi Cameron wanatumia jina hilo kurefer watu wanaojihusisha na shughuli za kishoga/kisenge<ashakhum>
Nielewesheni Cameroon ina maana gani mpaka mtu kajivutisha maisha yake?
 
Ni kweli kijana amejifanyia ukatili wa kutisha kwa
Kujinyonga hadith kufa sababu alizoziacha
Ni anasema ameamua kujiua baada ya kunyang'anywa girl friend na huyo binti inaelekea alikuwa nae tangu
Form 5na6 na wakahamia wote hapo chuoni
Mwanza kufika mwanza ndipo binti alipomsaliti na huyo
Aliemchukua akatengeneza genge la marafiki ambao kazi yake ikawa kumzomea na kumtania hichi ndicho kimepelekea akose raha na kujiua. Marehemu ni mdogo wangu kabisa :alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza sheria.jinalake. SEIYA JEROME DOMINICK:

Pole kwa msiba, kama ulivyosema marehemu ni mdogo wako kabisa. Kitu kinacho uma na kukera ni pale watu wazima wanapofanya vitendo vya kipuuzi kama kumzomea na kumtania mtu kisa kaporwa bf/gf wake. Haya mambo yanafanywa na vijana wanaobalehe na si wanavyuo.

Ni majonzi kwa kweli,......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom