Ajali ya ndege ya kq Dar jana usiku ni uzembe ama?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Kwa mliokuwepo uko mtujulishe kilichoendeelea;jana nimetumiwa msg usiku wakati ndege ya kq ikiondoka iligonga gari ya fuel iliokuwa nyuma yake na ikabidi warudi kwenye bridge kwa mliokuwepo embu tusaidien na sababu ni nini uzembe ama???
 
Kama ni umeme tena, mbona ni aibu kuu hii.....
 
hizo ndge za kq zina breki na side mirrow kweli mi sijawahi kuona, ha hata honi nazo hamna kwenye ndege kwa mtindo huu mbona ajali zitaendelea tu
 
Kwa mliokuwepo uko mtujulishe kilichoendeelea;jana nimetumiwa msg usiku wakati ndege ya kq ikiondoka iligonga gari ya fuel iliokuwa nyuma yake na ikabidi warudi kwenye bridge kwa mliokuwepo embu tusaidien na sababu ni nini uzembe ama???

Hawa watani zetu rekodi yao ya usalama si nzuri, si zamani sana ndege yao ilianguka Cameroun.
 
Hivi hii ni taarifa au tetesi kwa sababu mtoa mada ameuliza swali mi nilifikiri anatuhabarisha. hapa nimetoka kapa kwani nilitaka kupata habari kamili ila habari yenyewe inaelea hewani.
 
Hamna hata mwenye taarifa kamili
Mkuu hii habari ilikuwa ni ya 2011....Kosa lilikuwa ni la "Ground Engineer" na "Mashaller" pamoja na mtu wa "Towing Car"

Kama Engineer ni lazima ujihakikishie kuwa kabla ndege haijaanza push back basi mazingira yapo salama,kuanzia kuondoa choks,cones za pande zote na ndio unaruhusu break off kwa pilot,Lakini pia si huwa kunakuwa na Mashaller kama muongoza ndege?Ina maana aliruhusu vipi ndege iwe pushed back wakati gari lipo nyuma??

Natamani ningepewa kazi hii nifanye 'Investgation" sema ndio hivyo tulishastaafu hizi kazi basi tunawaachia vijana.Ajali hii ni uzembe wa watu watatu Jambazi
 
Back
Top Bottom