Kama ulikua na ratiba ya kwenda bagamoyo acha kabisa.
Watoto wa shule ya msingi wamelala barabarani baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari na inasemekana amefariki dunia, hvyo kuanzia Bunju A Bunju B kuendelea ni balaa hata baiskeli hakuna wameshika mifagio na magongo na raia wako makini kuangalia kinacho endea.
Stay tune for update.
----
Wananchi wamechoma moto Kituo cha Polisi Bunju 'A' na Askari wote wamekimbia, kwa ujumla hali sio shwari hadi sasa na barabara imefungwa.
Mahabusu waliokuwa ndani wametoka salama baada ya kufunguliwa na msamaria mwema.