Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

Na wanafunzi nao wafundishwe kabla hawajavuka barabara waangalie pande zote kabla hawajavuka. Wengine mizaha sana barabarani.
Mimi na ukubwa wangu nilishawahi kufanya hivyo lakini nilishangaa tu nimepaa juu kimo cha ng,ombe kisha nikapoteza fahamu. Nilikua navuka nikaangalia kushoto hukukua na gari nikaangalia kuli pia hapakua na gari nikaangalia kushoto tena kisha nikavuka. Kumbe gari ilitoka ndani ya geti kwenye moja ya nyumba za pembezon mwa barabara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sana
 
Back
Top Bottom