rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,442
Kwani cha Bunju A kilikuwa kikubwa?.
Nasikia ni kituo kidogo, vile vya kufungwa jioni.
Kwani cha Bunju A kilikuwa kikubwa?.
Mkuu;
Sidhani kama lie neo la Bunju A shule unalifahamu. Au kama unalifahamu basi huenda huwa unapita tu njia na siyo kupata muda wa masaa machache kukaa pale barabarani ili uone magari jinsi yanavyotembea kwa mwendo kasi bila ya kujali wavuka barabara. matuta ya mistari yaliyopo ni sawa na takataka kumwaga barabarani kwani hayasaidii kupunguza mwendo.
Miaka mingi sana nyuma tulishauri mbele ya Mbunge kuwa tunaomba eneo lile pawekwe matuta au taa za barabarani mfano kama zile zilizopo Oysterbay shule ya msingi. Lakini hakuna wa kusikiliza vilio vya wananch walalahoi.
Sisi Madereva ni chanzo cha baadhi ya ajali kutokana na kudharau waenda kwa miguu na watumiaji wengine wa barabara.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
hata kama hamna zebra,kama dereva makini unatakiwa kujua eneo likoje, kuna shule au nyumba nyingi watoto lazima watavuka hovyo! mtoto ni mtoto tu anavuka popote na kwa namna yoyote wewe kama dereva unatakiwa ujue hilo
What do you mean? Huo uchomaji moto ni sawa? Wananchi haohao watagharamia tena ujenzi wa kituo kingine, ni akili hiyo?Usipende kuchangia jambo ambalo hulijui. Alafu una base upande mmoja. (Ethics) .
Asante kwa taarifa; RIP mtoto mwanafunzi. Madereva tuwe makini na tujitahidi kuziheshimu alama za barabarani
Hawa watoto nao hawako makini,kila siku wanagongwa tu na madereva tena mchana kweupe.
Njia hizo watu full mwendo.
Unaweza kukuta kila siku wanaambiwa waweke matuta lakiniw anapotezea.
Hapo wataweka
Hasira hasara jamani ajali ya mwanafunzi ndio inasababisha kuchomwa moto kituo cha walinda usalama wetu.
Usipende kuchangia jambo ambalo hulijui. Alafu una base upande mmoja. (Ethics) .
Hivi una matatizo gani wewe? Hunijui sikujui stay away from me.