Sijaipata vema, ila ni ajali mbaya, watu watatu wamekufamo na wengine bado wamekwama mu-gari.
Source: East Africa Radio
feemaso hao!Hizi ajali za barabarani sasa jamani! Magari mabovu yanaruhusiwaje kutembea barabarani? Na madereva wasiokuwa na leseni wamejaa tele mitaani!