Ajali Mbeya!!

Kassim Awadh

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
884
187
Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na wengine Saba kujeruhiwa baada ya lori aina ya Scania mali ya Ndugu Bhanji kufail breki katika mteremko wa Nzovwe na kwenda kuigonga gari ndogo Prado iliyokuwa ikiendeshwa na mama Edna Sanga ambaye amefariki katika ajali hiyo. Dereva wa Lori aliyefahamika kwa jina moja la Daud ni moja ya majeruhi waliolazwa Rufaa Mbeya.
 

Attachments

  • IMG-20120715-WA001[1].jpg
    IMG-20120715-WA001[1].jpg
    112.1 KB · Views: 285
  • IMG-20120715-WA003[2].jpg
    IMG-20120715-WA003[2].jpg
    90 KB · Views: 277
Duu maroli mengi ya mbeya brek zake huwa ni mbovu!
R.i.p waliofariki!
 
Back
Top Bottom