TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

Wakati mhe. Salome Mbatia anafariki kwa ajali, hao Trafiki hawakuwepo barabarani?

Hapa ni shida ya madereva wa gari za umma kuendesha kwa kutozingatia tahadhari na sheria za barabarani

R. I. P. Ded na Dereva

Kama walikuwepo hawakutosha. Wangeongezwa.
 
Siko Uingereza ila wewe huoni mbali. Unafikiri wanaoathirika na ajali za barabarani wa wasio tii sheria tuu. Si kweli.
Ami, Trafiki hawasaidii chochote zaidi ya kuombaomba hela, ni bora wabaki wachache, na usiku ndio huwaoni kabisa mabarabarani, labda Polisi wa kawaida, kuna wengine wanakwambia bila ajali "wakale wapi".
 
Ami Trafiki hawasaidii chochote zaidi ya kuombaomba hela ni bora wabaki wachache na usiku ndio huwaoni kabisa mabarabarani labda Polisi wa kawaida, kuna wengine wamakwambia bila ajali "wakale wapi".

Unapendekeza nini kifanyike ili kupunguza ajali sasa? Au tukubali tuu watu wapukutike bararabani?
 
Jamaa huwa hawana tochi wala kibao cha 50
Haya mambo utayakuta nchi maskini tu. Ila nchi zilizoendelea hata Polisi wanafuata na kuheshimu sheria zote za barabarani isipokuwa kama wapo kwenye operation maalumu ama jambo la dharura ndo huwa wanawasha ving'ora na magari mengine yanapisha. Ila Bongo dereva wa gari la Polisi hata kama anaenda kupaki gari utaona anatanua barabarani na fujo nyingi. Mara wapite kwenye njia za mabasi ya mwendokasi. Yaani kiufupi sisi nchi maskini bado tupo kwenye transition kutoka kwenye ubinadamu nusu kwenda kwenye ubinadamu kamili. Bado sana sisi.
 
1.Kuwepo kwa vyombo vya usafiri visivyo kidhi vigezo vya kuwepo barabarani (yani havifai kwa matumizi lakini vipo)

2. Kuwepo kwa madereva wasiokidhi vigezo vya kuwa madereva. Hupelekea kuvunja sheria hovyo.

3. Unywaji wa pombe na matumizi ya dawa za kulevya kisha kuendesha vyombo ya moto.

Hizo nadhani ni sababu kuu.

Tatiizo la inyala pipeline ni miundombinu, ule mlima umeanzia mbali sana, palitakiwa kuwe na dual carriage ways
Palitakiwa kuwe na dual roads kuanzia shamwengo hadi songwe airport
 
Nimeona aliyefariki kavaa hijabu labda italeta tofauti, kwa maana wengine wanachukuliwa kama wanyama tu TZ ya sasa, watu wanalemaa, wanapoteza maisha barabarani kila siku lkn hakuna anayejali, lkn uzuri wa Mungu yuko fair!
Uko sahihi,ishu sio hijabu bali DED ,kwa kuwa ni kigogo nadhani sasa watajenga hiyo barabara
 
Back
Top Bottom