TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

Screenshot_20220914-203104_WhatsApp.jpg
dereva wa gari.. wote wapumzike kwa amani
 
Mimi niko Barabarani karibia kila siku,hao Matrafiki qanatusumbua sisi ila Madereva wa Gari za Serkali huwa hawaguswi tena wengine huwa wanawasha na Vimulumuli.

Kwahiyo utitiri wa Matrafiki huwa unatusumbua sisi haswa Madereva wa Malori.

Nataka kusema ule utitiri usirudishwe,na asietii sheria ba shuruti atakufa mwenyewe na Bosi wake.

Asiye tii sheria anaweza kumgonga anaye tii sheria. Kwa hiyo lazima trafiki warudishwe. Faida gani ya walipa kodi kulipa mishahara ya trafiki washinde vituoni wakati watu wanakufa barabarani?
 
Sasa wakirudi wakawa tunawapa alfu mbilimbili ndio itazuia nini.

Ami, wewe pika halua huko Nyumbani mambo ya Barabarani tuachie sisi, tunajua kero zake.

Ndiyo maana nasema waongezwe. Hizo alfu mbili ulipa mara 10 au mara 20 utabadilika tu.
 
Kuishi kubahatisha!
Maisha ya kubahatisha hasahasa kufariki kutokana na ajali utayasikia zaidi nchi maskini tu ambako ajali zinaripotiwa karibu kila week. Ila nchi zilizoendelea, vifo vya ajali unaweza kuvisikia mara moja kwa kila mwaka au pengine kila baada ya miaka 2 kabisa..
 
Huo ndio mlima nyoka?
Hapana , ukitokea dar unaanza mlima huo wa pipeline inyala unakwenda itewe ndo unafika mlima nyoka
Mlima nyoka sio maarufu sana kwa ajali,
Ukisikia ajali fatal kwa mbeya ni hapo inyala , mbalizi na uwanja wa ndege ukiwa unaelekea kyela
 
Back
Top Bottom