Ajali mbaya ya gari na pikipiki, barabara ya Chalinze - Segera

Tuwaombee wote waliopoteza maisha yao, Lakini cha muhimu ni hawa waendesha bodaboda huwa hawatii sheria wawapo barabarani ndio tatizo kubwa na huenda pia hawana uzoefu wa kutosha kwa ufahamu wa sheria za barabarani.
Idadi kubwa ya vijana wamejiingiza katika biashara hii baada ya kukosa kazi mbadala hivyo serikali inatakiwa itoe mafunzo ya kutosha juu ya waendesha bodaboda vinginevyo tutaendelea kushuhudia vifo vya kila mara.
 
Back
Top Bottom