Ajali Mbaya tena Florida yaua familia ya Pastor.

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
crash_uni.jpg

5bd0536eeea3b202050f6a7067004c60.jpg

pileup-jpg_195131.jpg

Halijapita wiki moja tangu ajali mbaya itokee sehemu hiyo hiyo, tena mzimu umeendelea kuchukua roho za watu kwa ajali. kwa habari zaidi soma:A pastor's fateful lifesaving decision
 
Na Ulaya pia hizi ajali zipo? i thought hakunaga.

RIP all lost lives
 
Na Ulaya pia hizi ajali zipo? i thought hakunaga.

RIP all lost lives

Eneo hilo baya sana, linakuwa na ukumgu mwingi kiasi kama gari moja kikifunga break ghafla kwa dharura basi litasababisha magari kadhaa kugongana. Kinachotakiwa ni kuratibu upya speed limit.
 
Vipi ajali za TZ? Za wenzetu achana nazo. Za kwetu zinatutosha. Any way RIP.
 
Eneo hilo baya sana, linakuwa na ukumgu mwingi kiasi kama gari moja kikifunga break ghafla kwa dharura basi litasababisha magari kadhaa kugongana. Kinachotakiwa ni kuratibu upya speed limit.

inamaana ngoma imetokea kwa ajili ya uzembe..? kumbe hata mbele kuna wazembe serikalini...?
 
Back
Top Bottom