Ajali mbaya mkoani Singida: Watu kumi na tatu wafa papo hapo

ni siku zao zimetimia naomba mungu aweke roho za marehemu mahala pema peponi amina. Angalizo kwa madereva na makonda acheni uroho wa pesa kuliko roho zawatu maana huwa mnatusheehena kama magunia
 
Lakini, badala ya kumuomba Mungu kuwapa nguvu wafiwa ni kwa nini tusiwe pro-active kwa kumuomba Mungu huyo huyo kuwapa akili madereva wakaendesha vizuri!?

Changes does not roll in on the wheels of inevitability but comes through continous struggle,,so u can't just sit there and pray without struggle...........

Incase of exdent It's already happens
What's done is already done,,even if u blames drivers it won't help to return the dead bodies
A man can't ride u unless your back is bent.......!!!!!!!!!!!
 
Nimepita hapo mda c mrefu kweli ajali inatisha! Na barabara ina ukungu mwingi sana yewezekana ikawa n chanzo ila yaweza kuwa na sabbu nyngne.
 
Taarifa inasema gari aina ya NOAH ilikuwa imebeba abiria kutoka Itigi wakielekea Singida Mjini.

Dereva na utingo wa Lori walikimbia baada ya ajali hiyo kutokea.

attachment.php


CHANZO: ITV breaking News.[/QUOTE]
 
tumejenga barabara, sasa hivi zinatumaliza wenyewe, ila uko singida sipaamini sana, labda wamechukuliwa misukule, tungeweza kumpeleka ngwajima eneo la tukio ingependeza sana, kwani ukichukuliwa msukule haupelekwi mbali mpaka uzikwe ndio waweze kukuchukua
 
Kweli umenena mkuu,unakuta dereva anaenda kulia ama ananyoka barabara ila kawasha indicator ya kulia ama kushoto na wala hakatishi,yaani hovyo kabisa.

Tatzo c ufeki au uhalis wa dereva bali ni kutojitambua na kutokujithamin sbb c kila ajal inamhucsha dereva "feki" na c kila dereva halali anafata yote atakiwayo.
 
Imetokea ajali mbaya huko Singida ambapo gari aina ya NOAH na Lori la mizigo yamegongana uso kwa uso na kisha gari hiyo aina ya NOAH kuingia chini ya uvungu wa Lori na kusababisha vifo vya watu hao 13 ambao wote walifia katika eneo la ajali.

Taarifa inasema gari aina ya NOAH ilikuwa imebeba abiria kutoka Itigi wakielekea Singida Mjini.

Dereva na utingo wa Lori walikimbia baada ya ajali hiyo kutokea.

attachment.php


CHANZO: ITV breaking News.

Salary Slip acha uongo hii picha nimepiga mm na cm yangu na sio ITV, hivi unadanganya watu chanzo cha habari ili upate nini? Misifa tu au?
 
Nimeona hii habari Facebook kwenye page ya EastAfrica redio na 37 People have LIKED.
 
Salary Slip acha uongo hii picha nimepiga mm na cm yangu na sio ITV, hivi unadanganya watu chanzo cha habari ili upate nini? Misifa tu au?

Mnagombea picha jamani?!!! Chanzo cha habari huenda yeye ameiskia ITV, ulivoweka picha yako hapa akaamua kuikopi na kuiweka kwa vile haukuema kama iko na hakimiliki, ongea naye tu aedit thread chini cha picha aandike
Picha na LUPITUKO
 
Back
Top Bottom