Ajali mbaya mkoani Singida: Watu kumi na tatu wafa papo hapo

Jamani Singida kuna nini kila cku ajali leo 13 wamechinjwa
Madereva waliona leseni za magumashi wapo wengi huko. Mjomba ananunua Noah halafu anatafuta leseni ya mitaani na kumkabidhi mupwae kazi inaanza!
 
hali inatisha, uhai unazimishwa kwa sekunde, ndoto ndio zinaishia hapo na that marks end of life, all over sudden? please God preserve the mankind from these tragic incidents. R.I.P Marehemu, poleni wafiwa.
 
noah zilizuiwa kusafirisha abiria,imekuaje na nani alaumiwe kwani sisis wananchi tumekua wabishi tudai ni moja ya kazi ya kuingiza kipato
 
Juzi kafa Faru mmoja waziri kajitokeza kwenye vyombo vya habari na kupinga vikali sana + mbinu zingine ili faru wasife tena....
Haya leo binadamu wenzetu wamechinjwa kama kuku na magari/roho za watu wasio hata na hatia zimetoka, sasa waziri mkuu au waziri husika ajitokeze na leo sasa???
Mungu awape faraja wanasingida,wafiwa na waTz woote!!!
____R. I. P_mliotangulia mbele za haki...
 
Amina.
 
May they rest in Peace,
Tukirudi kwa serikali, jamani waamke... tuanze kufikiria ni jinsi gani tunaweza kuwaepuka madereva feki na vilaza, kwa kuangalia mabaki ya Noah inatosha kusema yaani dereva ana walakini, inawezekana hajafanya juhudi za makusudi za kukwepa yaani ni head on collision, the fact kwamba amekimbia ujue pia kuna utata mwingi ktk leseni nk nk. Jamani we need a solution maana inatugusa sisi wote hata kama unajua sheria zote na upo extra careful ukikutana na mi dereva kama hii itakusababishia tu majanga.
God bless us all.
 
Poleni kwa wafiwa...hatari sana!!!

All in all serikali yetu ndio chanzo cha haya yote kwa kutoa ruksa kwa magari yaliyotengenezwa kwa matumizi binafsi kufanywa ya abiria...
 
Back
Top Bottom