Ajali inapotokea

acha tu nilipigwa sana madogo especial wanaume ndo walikuwa wanaongea sana.
but wenzetu hata ukisema akili yangu leo haijatulia wanakuruhusu ufanye mambo yako,ila wabongo watakushushua
 
hivi mnawasifia wa tz hilo ni jambo la kuwasifiaaa;;;; mi nadhani ndio majinga kuliko wote,,, bora mwarabu anaekwambia u nid to go to the hospital
 
huyu ndo hajui bongo hamna mtu mwenye mda wa kuongea na wewe watu wanaongea na mifuko yako kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom