Ajabu serikalii ya JK: Inao uwezo kuruhusu vigogo kutafuna nchi lkn haina uwezo kuwalipa madaktari

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Ni uongozi wa ajabu kabisa! Ina uwezo kulala usingizini huku vigogo wanatafuna nchi, wanaweka pesa za ufisadi Uswisi baada ya kuuza gesi yetu, kutorosha twiga na maovu mengine lukuki, lakini eti haina uwezo kuwalipa madaktari mishahara stahili!

Historia ndiyo pekee itaihukumu Awamu hii!
 
Walisomwesha burr .usa udaktari ada dollar. Million moja.dhamani ya elimu ndogo
 
Huyo dogo huwa nashindwa kumuelewa. Haoni kwamba rasilimali za umma zinaliwa naye anaufyata tu na kuachia hali hiyo iendelee?
 
Kitakuwa kichekesho cha mwaka kama wataleta madaktari toka ngambo na kuwalipa Bil 200. mchumi numberi one tz hebu tusaidie mnashindwaje kuwalipa Madaktari?

Natoa wito wa ma-nesi na wasaidizi katika hostpitali zote na nyie mgome kama wakiletwa ili wao wachome sindano, waoshe vidonda sababu si wanapata mshahara mkubwa.
 
Ni uongozi wa ajabu kabisa! Ina uwezo kulala usingizini huku vigogo wanatafuna nchi, wanaweka pesa za ufisadi Uswisi baada ya kuuza gesi yetu, kutorosha twiga na maovu mengine lukuki, lakini eti haina uwezo kuwalipa madaktari mishahara stahili!

Historia ndiyo pekee itaihukumu Awamu hii!

Acha ubaguzi nchi hii tuna watumishi wa umma wengi sio madaktari peke yao. Mkuu wa kaya ameweka wazi hakuna 3.5 wakaombe kazi kazi TMJ na Aga Khan
 
Back
Top Bottom