Aisam magari wa Mwanza mnamuelewa bei zake? Anatupiga au?

Jactan hana tamaa Aisam ni wana bei kubwa +tamaa ya kupata faida kubwa
 
Kaaa ukijua Aisamu magari ni dealers wa magari used ambapo ananunua magari used na kuuza pili kwa wale wenye shida za ghafra basi uenda kuacha gari lake kwa bei flan then wao wanauza kwa bei yaoo bei lzm iwe juu kidogo kutokn n gharam za uendeshaj wa office na Kodi pili Kun madalali wengiii wa kufanya gari za pale ziuzwe mfano gari imekuj mteja anatak 7m ikipostiwa na aisam lzm iuzwe 8M tofaut na Jacktan safari uwa anauza ndingaaa bei pw pia anawez kukukutanisha na muuzaji then mkamlz n muuzaji uku yye ukimpoza pesa ya maji tuuuu
 
Mnamjua IKUNGULYABASHASHI MOTORS NYIE? Yeye anaagiza gari Japan pamoja na kodi kwa ml 20 lakin analiuza kwa ml 12 ili mradi watu wapate na waendeshe magari.
Muislam sana jamaa
Mmhh haya uyasemayo ni kweli? Yani kwenye mil20 apate hasara ya mil 8... Wewe uliwahi kununua kwake? Au umehadithiwa
 
Mnamjua IKUNGULYABASHASHI MOTORS NYIE? Yeye anaagiza gari Japan pamoja na kodi kwa ml 20 lakin analiuza kwa ml 12 ili mradi watu wapate na waendeshe magari.
Muislam sana jamaa
Lipia tangazo uyo dalali ni wewe kabsa
Hata za Jactan ni mbovu hatar
 
Back
Top Bottom