Airtel vp?

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,419
1,981
Ndugu wana jf,majuzi nili-renew line yangu ya airtel iliopotea cha kushangaza haina uwezo wa ku-access internet,hata pale nilipowapigia simu na kuwaeleza tatizo langu haijasaidia kitu kwani tatizo halijatatuliwa!
Najiuliza,hivi kumbe line za airtel tofauti na za mitandao mingine ni sharti wao (airtel) waifanyie activation ya internet?
Nini maana ya huduma kwa wateja kama mteja unawasiliana nao,unaeleza tatizo lako
unaambiwa litashughulikiwa muda si mrefu lakini wamekua hawatekelezi kama wanavyoahidi?
Nimekua dissappointed sana kwa hili ikizingatiwa nina siku takribani 5 sijapatiwa utatuzi wa hitaji langu! Nashindwa kununua vifurush vya internet kama zamadi kabla sijapoteza laini yangu orijino. Kwanini wasiziache kuwa free kuaccess internet bila hata ya kuhangaila kuwaomba wakufanyie activation wao?
Wamenisikitisha sana kwa hili,
naomba kuwasilisha kwenu ili kama wahusika wanaona watalifanyia kazi. Wadau mwasemaje?

Tatizo la kukosa huduma si lako pekee. Hata mie nilikosa mawasiliano ya internet kupitia Airtel, nikaamua kutumia mtandao mwingine. Line yangu ina miaka miwili.

ikigoma kuconnect intrnet ujue haijasajiliwa. Wanaosajil kwenye vibanda banda huwa wanazngua 2.

ikigoma kuconnect intrnet ujue haijasajiliwa. Wanaosajil kwenye vibanda banda huwa wanazngua 2.

Sio kweli kuwa ikigoma haijasajiriwa, hawa jamaa mi nilishasahau kupata internet kupitia kwao, ni ya kubahatisha sana tofauti na Tigo au Voda, wanamatatizo kwenye internet na labda wanafanya kusudi sababu siami kuwa hilo hawalifahamu, nilishawai kuwapigia mara kadhaa na hata kwenda ofisini kwao hakuna mwenye jibu, Tigo naona ndo imetulia kidogo.

Dah mm sidhan kama line mpaka iwe activated, mbona mm nilinunua line ya airtel dukan sikuisajili na internet nikawa natumia kama kawa hata configuration setting hawakunitumia nikatengeneza zangu mwenyewe. Na sa hvi nina siku ya nne natumia internet bure sa sijui nimepewa offer au vipi

system mpya airtel kutumia internet line mpya lazma both line na simu ziwe connected na internet. Kwa simu waweza tengeneza personal configuration but kwa swala la line nenda ofisi zao au wapigie. Mimi binafsi kale ka ofa ka internet mb 200 nakatumia effectively.

Nakushauri wapigie tena then kua clear waambie una access point tayari yao kwenye simu maana ushawah tumia internet yao

waambie una zaidi ya sh 500 kwenye simu (japo ina sh 4)

waambie waiactivate tu maana ukiingia net yakwambia 'subscribe to packet data first'
ukifanya hivi hapo hapo wataifungua mi wiki hii meactivate line 2 kwa kuwapigia jaribu

vivaaa airtellllll

umejaribu ku connect kwa kutumia simu nyingine? Nadhani tatizo liko kwenye handset, maana mimi natumia line za airtel. Nikiweka kwenye nokia ya mchina sipati internet. Nikiweka kwenye samsung au nokia original inakuwa mwake...net mpaka asubuhi

Dah mm sidhan kama line mpaka iwe activated, mbona mm nilinunua line ya airtel dukan sikuisajili na internet nikawa natumia kama kawa hata configuration setting hawakunitumia nikatengeneza zangu mwenyewe. Na sa hvi nina siku ya nne natumia internet bure sa sijui nimepewa offer au vipi

RED = How mkuu?

Keani wewe simu yako ni aina gani na inatumia os gani, kama inatumia android au windowas mobile. Nenda kwenye settings, tafta connections/wireless connections tafta acsess point, add new, kwenye name andika chochote hata jiina lako, kwenye APN andika neno internet na hakikisha herufi zote ni low case. save na activate hiyo access point the try tena kutumia internet lakini usitegemee kam utaipata bure mm sijui kwanini natumia bure kwa kuwa kutengeneza confguration mwenyewe haiina maana unapata internet bure

Tatisom hilo sio lako tu! Hata mi lilishawahi kunifika lakini kwa bahati nzuri nilienda kwenye ofisi zao za huduma kwa wateja wakaiactivate but the worse thing is, Haiwezi kuregister na 3G (inregister 2G only)

nimeshaenda kwenye ofisi zao hii ntakayoenda itakuwa mara ya 3, na bahati mbaya au sijui nzuri namkuta operator yuleyule sasa mpaka naona noma kumwendea tena kwa kuwa kila mara nikienda ananiambia itakuwa active ndani ya dakika kumi. Nina hamu sana ya hizo MB 200 wanazotoa lakini kitendo cha wao kutoa line ambazo mpaka uzifanyie activation sio siri uzalendo utanishinda kuzihangaikia hizo MB

umejaribu ku connect kwa kutumia simu nyingine? Nadhani tatizo liko kwenye handset, maana mimi natumia line za airtel. Nikiweka kwenye nokia ya mchina sipati internet. Nikiweka kwenye samsung au nokia original inakuwa mwake...net mpaka asubuhi

nimejaribu handset kama mbili hivi za nokia orijino na moja sony ericson lakini mambo ni yaleyale, sidhani kama tatizo lipo kwenye handset

Ndugu wana jf,majuzi nili-renew line yangu ya airtel iliopotea cha kushangaza haina uwezo wa ku-access internet,hata pale nilipowapigia simu na kuwaeleza tatizo langu haijasaidia kitu kwani tatizo halijatatuliwa!

Najiuliza,hivi kumbe line za airtel tofauti na za mitandao mingine ni sharti wao (airtel) waifanyie activation ya internet?

Nini maana ya huduma kwa wateja kama mteja unawasiliana nao,unaeleza tatizo lako

unaambiwa litashughulikiwa muda si mrefu lakini wamekua hawatekelezi kama wanavyoahidi?

Nimekua dissappointed sana kwa hili ikizingatiwa nina siku takribani 5 sijapatiwa utatuzi wa hitaji langu! Nashindwa kununua vifurush vya internet kama zamadi kabla sijapoteza laini yangu orijino. Kwanini wasiziache kuwa free kuaccess internet bila hata ya kuhangaila kuwaomba wakufanyie activation wao?

Wamenisikitisha sana kwa hili,

naomba kuwasilisha kwenu ili kama wahusika wanaona watalifanyia kazi. Wadau mwasemaje?

hebu ka-renew tena maana line yangu ya mwanzo ilikuwa hai-acces net ilipo potea nika-renew hii ya sasa inapiga mzigo kama kenya

Hata mimi niliwahi kupatwa na tatizo kama hilo kwenye line ya airtel. Nilinunua line mpya ikawa haipati GPRS. ila nikiweka ile line nyingine ya zamani GPRS inatokea kama kawaida. Ukiwapigia huduma kwa wateja watakupa sababu nyingi mara weka vocha kiasi zaidi ya 500. Ah I was realy disappointed

hebu ka-renew tena maana line yangu ya mwanzo ilikuwa hai-acces net ilipo potea nika-renew hii ya sasa inapiga mzigo kama kenya

kwa hiyo mkubwa kwa kusema hivyo inamaana kuna basi kuna line nyingine huwa hazina uwezo wa na access ya internet? dah inaboa sana but ntajaribu kuwacheki tena nikiona mizingua naivunja then na-renew upya

Back
Top Bottom