Airtel Tanzania-Internet mikoani majanga

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,574
Ndugu zangu, mimi nimekuwa nikitumia airtel line kwenye modem kupata internate na wakati mwingine kutumia kwenye Samsung galaxy tablet 2 kupata internante.Cha ajabu nikuwa hivi karibuni utanapata connection lakini uploading na downloading ni 0. Kwanini hii hali inatokea wakati siku za nyuma Airtel ilikuwa ndo mkombozi. TCRA wanafanya nini mbona hwaangalii ubora wa mitandao hii.

Asanten
 
Back
Top Bottom