Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,240
- 5,248
Kuna tatizo nali experience kwenye huu mtandao wadau,line yangu ya Airtel haipandishi mnara wowote ikiwa kwenye band ya WCDMA preffered ila tu kwa band ya GSM only, na kama ikipandisha basi within seconds mnara wa simu na wa data (H) vyote hupotea kabisa,simu inkuwa kama haina line...Nilishazoea kuweka Band ya WCDMA only ili kusudi niinjoy the best speeds za data wakati wote.
Nilikwishajiunga na bundle la week 1Gb yatosha last week ikawa fresh mpk lilipoisha,Week hii tena nikajiunga ila baada ya siku moja ya matumizi ndio nikaanza kuyaona haya mauza uza...
Kuhusu line nyingine kama Tigo,Vodacom znapiga kazi fresh sana hata nikiwa band ya WCDMA only(3G only)
Kilichonisikitisha zaidi nmejaribu kupiga huduma kwa wateja Airtel nkaambiwa nilipe sh.60 kuongea na mhudumu,Total disappointment!!!
Wadau kwa mwenye experience ama ushauri juu ya hili?