Airtel na wizi wa wazi wa ofaya ya internent bure miezi 6 kwenye moderm zao. Usijaribu

Sifanyi kazi airtel wala sina mpango wa kufanya kazi airtel, na kama ana vitu analalamika airtel anaitajika kwenda airtel kuwaambia sio Jamii forums, maana akija huku ndio majibu kama haya tunampatia.

Toka mwanzo mpaka sasa unaongea pumba tu, samahani lakini ndo ukweli huo.
 
hahahahaha mimi nawachakachua Airtel since March tena kuna Engineer anafanya kazi pale Airtel alinifanyia maujuz kwenye modem yangu nakula net buuuuure polen watanzania wenzangu mnaoibiwa!

na we mbwiga wa mbwiguke jifunze kutunza siri bhana.
 
Niliona tangazo la hii ofa yao ya uongo, sikukurupuka, nikauliza zaidi na zaidi kwa wakala wao, akanihakikishia ni kweli na kujiapiza, si ndo nikanunua nimetumia wiki tu tena kusoma email na kuperuzi sites eti wananiletea ujumbe niongeze pesa! jamani watanzania mbona tunaonewa live live na kuibiwa hadharani? Mamlaka ya mawasiliano mpo? Yaani wamenikera mpaka basi, wizi wa mchana kabisa huu, tena utapeli wao wanautangaza hadi kwenye tv!!!!

Nimekuwa nikitumia bundle ya mb 400 ya Airtel kwa miaka miwili sasa. mwanzoni ilikuwa inafika siku 30. but kwa sasa ukifungua magazeti na email inachukua siku chache sana. Na kuna wakati niliweka na nilipojaribu kufugua internate tu, nikapata ujumbe ati bundle imekwisha!!! hata hivyo niliwakomalia Airtel wakanirudishia. But nilalamika mara ngapi?
 
jamani sijui niitanunua modem ngapi nilianza na zantel nikaamia ttcl sasa nina airtel mwezi tu nimetumia 70 elfu hadi nachoka speed yenyewe ndogo
 
jinsi ipo tena wafanyizie nitafute binafsi nikupe ujanja
Ebwana nami nipo mkifanikiwa jinsi ya uchakachuzi tutonyane, Nashukuruni maana namii nilivutiwa na hilo tangazo la Airtel ningeuvaa mkenge, Namshukuru Mungu kwa kunipa subira, Ila kiali ni wizi live haingii akilini Mtandao unakubali kuingia hasara kwa kutoa Ofa ya Moderm ya miezi 6 kwa tsh 30,000.
 
Still HAMTAKI elewa, What iF you laptop/Desktop has automatic UPDATES on? I have mine, and when it updates it can even update 435MB a day, antivirus and other issues, sasa hata kama upo facebook, we wategemea nini? ni Miezi sita bure, but they clearly say the maximum you can spend in a day, HAKUNA WIZI HAPA, we just dont want to make our brain cells move.:eek2:

Lisemwalo lipo, kwa kuwa sina data naomba nisiwe mkali ila kuna siku nlienda Airtel kuna ofa walikuwa wanaitangaza ya internet, mhudumu akasema hayo ni matangazo tu ila ukweli ndo huu ninaokwambia. HIYO OFA HAIPO NI BIASHARA TU
 
Back
Top Bottom