Airtel internet

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,812
59,392
Wataalam naombeni kama kuna anaeweza kunielekeza namna ya kuunganisha internet kwenye tablet manually.

Nilishajaribu ile ya kutuma text mara kadhaa nikajibiwa kuwa device yangu haisapoti automatic configuration. Costumer care nimewapigia mara kumi kidogo kila mmoja ananiambia nimeshaunganisha, ohhh weka credit, mara nunua bundle wakati hivyo vyote vipo. Ofisi zao leo zimefungwa na siku za wiki sitokuwepo mjini so pleaaaaase kama kuna namna mnaweza kunielekeza naombeni.

Natumia Samsung Galaxy Tab1000
 
Heri umetujuza. nilikuwa nataka kununua Samsung tablet sasa nimeahirisha.
nitanunua smartphone yenye display kubwa instead
 
Heri umetujuza. nilikuwa nataka kununua Samsung tablet sasa nimeahirisha.
nitanunua smartphone yenye display kubwa instead
Kwanini?! Kama unadhani yenyewe ndio yenye tatizo haina. . kwahiyo we nunua tu kama unaipenda.

Naitumia tangu Nov. last year nje ya bongo na ndani ya bongo internet ya tigo na voda zote ziko poa.
 
Kwanini?! Kama unadhani yenyewe ndio yenye tatizo haina. . kwahiyo we nunua tu kama unaipenda.

Naitumia tangu Nov. last year nje ya bongo na ndani ya bongo internet ya tigo na voda zote ziko poa.

Lizzy So hizo internet za voda na Tigo zilifanyika Autamtically ? Uki Pakua Manual soma kipengee cha setting.

Access the Settings menu
  • In Menu mode, select Settings.
  • Select a setting category and select an option.

MObile Networks

  • USe Packet data . Seta allow packet switched data networks ffrom networks services
  • Data roaming : Set the device to connect another network when you are roaming or your home network is not available.
  • Access Point Names : Set up access point names (APNs). (Hapa ndio ukomae napo)
  • Network mode : Select a network type.
  • Network operators: Search for available networks and select a network for roaming.

Kwa kuset manualy nadhani hapowenye blue ndio pata kutoa . kuingiza. APN name na mambo mengine ya Airte nadhani huwezi kushindwa kuyapata.details zake

Uikwama jaribu na customer serviceya samsung Tanzania/Africa siku ya kazi kupitiaoptions hizi
Simu- 0685 88 99 00
Mon - Sat 08h00 - 17h00 au
Email: samsung africa emailsupport
chat: samsung livechat support

Haya makampuni ya simu yameshiba pesa .
 
Lizzy
Firstly, Open Menu and go to Settings > Wireless & Networks scroll down to Mobile Networks, check/tick Data Enabled go to GSM/UNITS Options – open Access Point Names. Press "menu" on the left hand side and select add new. Then use the following settings accordingly. All settings are case sensitive!


Android tablet manual APN Settings
Name: Any
APN- internet
Proxy – not set
Port – Not set
Username – Not set
Password – Not set
Server – Not set
MMSC – Not set
MMS Proxy – not set
MMS Port – not set
APN Type – Not set
Authentication – Not set
 
Last edited by a moderator:
Lizzy
Firstly, Open Menu and go to Settings > Wireless & Networks scroll down to Mobile Networks, check/tick Data Enabled go to GSM/UNITS Options – open Access Point Names. Press “menu” on the left hand side and select add new. Then use the following settings accordingly. All settings are case sensitive!


Android tablet manual APN Settings
Name: Any
APN- internet
Proxy – not set
Port – Not set
Username – Not set
Password – Not set
Server – Not set
MMSC – Not set
MMS Proxy – not set
MMS Port – not set
APN Type – Not set
Authentication – Not set

Never give up

Ohhhh ahsante sana mkuu.
Sasa hivi inafanya kazi vizuri. . .thanks a lot.

Mtazamaji
You were right. . . maelezo ya Never give up hayajaniangusha kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom