Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,656
- 15,990
Hivi nyie makampuni ya simu hasa Airtel mnajitambua kweli? Nampigia muhudumu wa wateja anapokea ananiambia sikusikii , mwengine anapokea anajitambusha akimaliza haongei.
Hivi mnajua naweza kuwapeleka mahakamani kuwashtaki? Ni saa nzima sasa nashindwa kupiga simu nashindwa kuunganishwa na mtandao wenu mnajua nimepoteza kiasi gani katika muda huo?
Nadhani nina kila sababu ya kuwapeleka mahakamani na mtanilipa fidia na muda wangu mlionipotezea. Pumbavu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app