Air Tanzania signs MOU with Russia's Irkut over MC-21

Mkuu Vin Diesel ...

Lini umesikia ndege ya North Korea ilipata ajali / kuanguka?

Ingawa wana ndege za kirusi tu Antonov, Ilyushin pamoja na Tupolev Tu-204-300

Infact toka shirika la ndege la Air Koryo (North Korea) lilipoanzishwa halijawahi kupata ajali ya ndege hata moja ... na wanatumia ndege ze Warusi tu! ... haya sasa niambie kuhusu Air France, Luftansa au BA zinadondoka kila siku!

Sasa ni lini ulisikia zimepata ajali? - infact ndio the world reliable planes so far ... zaidi ya hata hizo Boeing & Airbuss

Mkuu..that was a joke

Try to have some sense of humor
 
Jamani wa Tz mbona kwenu kila kitu mnapinga?
Mta mwamini nani? Au mnataka expertriates watuamulie?
Kwa ushindani mzuri tusige kila kitu.
Wacha nasi tuanze na wengine waige.
Twende na MC- 21
Nimekuelewa vizuri mkuu
 
Bongo kila mtu ana cheo cha urubani pamoja na kuwa aircraft engineer.

Kama huamini soma comments za watu humu.
JKT tuliwaita wabangaizaji, wakiitwa madaktari wamo wakiitwa bwanashamba wanajitokeza wakiitwa marubani nao wanakuwemo. sikumoja afande mwakatumbura aliwaita marubani nusu ya kombania wakajitokeza kufika HQ akawagawia mashoka waanze kukata magogo na kuchanja kuni.
 
wenzetu wa wanapurchase maboeing na maairbus sie tunakomaa na vindege ambavyo havieleweki afu tuingie kwenye ushindani nao! ofcoz sie watu wa vibovu mv daressalaam, mabehewa ya treni,nk
Naomba kujua lini umepanda hata hivyo vindege.....unavyoviita
 
Back
Top Bottom