Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,228
- 94,696
Kwangu mimi ni kukumbuka yaliyopita, ni kama watu wanavyokumbusha mavazi nk..Mnabishaaaaana, mwenye magari nimetulia kimya!
Sio kweli Msae kwa sasa inaitwa Metro Coach...office zao ni pale karibu na Shoprite kamata. Kilimanjaro ni kitu tofauti mazee. Acha upotoshaji
Ilitamba kidogo sana Mabasi ya Leyland yalisumbua kwenye road yanapokuwa mapya tu. nakumbuka nilipanda tukapitwa na Mbaya hadi na islam ya Moro nililichukia sana Mastercity walipoona haliwezi kushindana likachange muda wa safari hadi likawa linaondoka saa tano hadi saa sita oi. mwisho sijui lilikufa kibuduMsae lilikuwa basi la mabitoz....kitu Master city bana Dar saa 7 arusha saa 8.
Mkuu kwa safari za Lindi na Mtwara, Buti la Zungu ndio gari la uhakika...
Sio kweli Msae kwa sasa inaitwa Metro Coach...office zao ni pale karibu na Shoprite kamata. Kilimanjaro ni kitu tofauti mazee. Acha upotoshaji
Hii kampuni baada ya kuwa chinja chinja wakabadili jina la kampuni kwasababu watu walikuwa wanayakimbia haya mabasi saizi wanajiita Kilimanjaro Express.ukipanda kilimanjaro ujue umepanda air masae
Mentor, sijajua hata aliyeleta hii mada amewaza nini,
air msae ndo liliuwa abiria wote miaka fulani,
daaah, ni nini hiki unaleta uchuro huku,
japo wamebadili jina sitaki hata kulisikia.
thia tupu meeku, leka kapsa naiyoe.
Ni kumbukumbu tu rafiki...
Ni kweli lilishawahi kupata moja ya ajali mbaya kwenye historia ya nchi yetu lakini sidhani kama tuite ni uchuro...
Ukiacha ajali za mabasi hata vyombo vingine vya usafiri kama meli na treni zimeshaua mamia ya Watanzania lakini tunaendelea kuvitumia vyombo hivyo...
watu8 si useme kama ni kampuni yako jamani ili tujue
nikiambiwa huwa naelewa sana na huwa nakaa kimya.
Teh teh teh...
Hata bajaj sina sembuse hayo magari rafiki...
Anyway ni hivi rafiki, nilikutana na hii picha mahali...kichwani kwangu nikajawa na mawazo mengi kuihusu...nikafikiria ajali hiyo ya hapo Misugusugu...nikakukmbuka siku nimepanda hilo basi likatuzingua Mombo ikabidi washushe Gear Box na kusubiria nyingine toka Moshi...na siku nyingine tukakaa masaa mawili hapo Mlandizi sijui liliharibika nini...
Yote hayo yakanifanya niwaulize waungwana hapa kama wanalikumbuka hilo basi maana lilikuwa hailiishi maswaibu...
Hili ni basi lililokuwa maarufu sana miaka ya 90, na lilikuwa likifanya safari zake kati ya Arusha na Dar es Salaam.