AIR MSAE: Mnalikumbuka hili basi?

Hawa jamaa yaani ilikuwa ukichelewa hata dakika moja, unakuta washaondoka stendi siku nyingiii yaani nawafananisha sana mambo yao na Happy Nation ile ya Mbeya - Dar.

Dah..hapa umerudicha mochi kapsa mleu..cha leka!
Mamndenyi..kokumburuo!??
 
Last edited by a moderator:
Sio kweli Msae kwa sasa inaitwa Metro Coach...office zao ni pale karibu na Shoprite kamata. Kilimanjaro ni kitu tofauti mazee. Acha upotoshaji

oi Mkuu kama unadanganya vile Kwani Metro wakati ipo na Msae ndio anaibuka kwa kasi Metro alikuwa anatumia magari ya kipekee engine nyuma nadhani yanaweza kuwa yalikuwa ya kichina au ya warusi likipita karibu ule moshi wake hunuka vibaya mno. nilishapanda once from Dar to Arusha. Msae kuna siku basi lilizimika njiani kabla ya kufika Mombo kutokea Arusha lakini ilikuwa ni uchafu wa mafuta filter iliziba kwa uchafu ukafanyika usafi watu tukasonga hadi dar ila ndio vile tulipoenda kula dar express ndio inaondoka na tulikuja kuikuta dar. sikupanda tena nikawa mutu wa Dar express tu Sababu gari langu la BornCity lilikuwa limechoka
 
Msae lilikuwa basi la mabitoz....kitu Master city bana Dar saa 7 arusha saa 8.
Ilitamba kidogo sana Mabasi ya Leyland yalisumbua kwenye road yanapokuwa mapya tu. nakumbuka nilipanda tukapitwa na Mbaya hadi na islam ya Moro nililichukia sana Mastercity walipoona haliwezi kushindana likachange muda wa safari hadi likawa linaondoka saa tano hadi saa sita oi. mwisho sijui lilikufa kibudu
 
watu wa kaskazini utawajua tu...ngoja nijiangalie mifukoni.........
 
Mkuu kwa safari za Lindi na Mtwara, Buti la Zungu ndio gari la uhakika...

Kwa safari za Dodoma - Arusha kupitia Babati kulikuwa na Sahib nyuma limeandikwa Kamujingijingi, na Dodom - Arusha kupitia Chalinze kulikuwa na Urafiki yakaongezeka Champion na Shabiby, njia ya Dodoma to Iringa kupitia Mtera kulikuwa na King Cross bila kusahau Dar - Mbeya kulikuwa na M-sleeping wenyeji walikuwa wanaita Mwanahapa na Dar - Njombe kulikuwa na Lupelo (bila kupanda Lupelo wewe si mwenyeji wa Njombe) wakati huo yanachuana na basi linaitwa Makete
 
Mentor, sijajua hata aliyeleta hii mada amewaza nini,
air msae ndo liliuwa abiria wote miaka fulani,
daaah, ni nini hiki unaleta uchuro huku,
japo wamebadili jina sitaki hata kulisikia.

thia tupu meeku, leka kapsa naiyoe.

Dah..hapa umerudicha mochi kapsa mleu..cha leka!
Mamndenyi..kokumburuo!??
 
Last edited by a moderator:
Hii kampuni baada ya kuwa chinja chinja wakabadili jina la kampuni kwasababu watu walikuwa wanayakimbia haya mabasi saizi wanajiita Kilimanjaro Express.ukipanda kilimanjaro ujue umepanda air masae

Mkuu hawa ni METRO bana siyo kilimanjaro! unachanganya mambo ofisi yao iko Kamata
 
Ni kumbukumbu tu rafiki...
Ni kweli lilishawahi kupata moja ya ajali mbaya kwenye historia ya nchi yetu lakini sidhani kama tuite ni uchuro...
Ukiacha ajali za mabasi hata vyombo vingine vya usafiri kama meli na treni zimeshaua mamia ya Watanzania lakini tunaendelea kuvitumia vyombo hivyo...

Mentor, sijajua hata aliyeleta hii mada amewaza nini,
air msae ndo liliuwa abiria wote miaka fulani,
daaah, ni nini hiki unaleta uchuro huku,
japo wamebadili jina sitaki hata kulisikia.

thia tupu meeku, leka kapsa naiyoe.
 
watu8 si useme kama ni kampuni yako jamani ili tujue
nikiambiwa huwa naelewa sana na huwa nakaa kimya.

Ni kumbukumbu tu rafiki...
Ni kweli lilishawahi kupata moja ya ajali mbaya kwenye historia ya nchi yetu lakini sidhani kama tuite ni uchuro...
Ukiacha ajali za mabasi hata vyombo vingine vya usafiri kama meli na treni zimeshaua mamia ya Watanzania lakini tunaendelea kuvitumia vyombo hivyo...
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh...
Hata bajaj sina sembuse hayo magari rafiki...
Anyway ni hivi rafiki, nilikutana na hii picha mahali...kichwani kwangu nikajawa na mawazo mengi kuihusu...nikafikiria ajali hiyo ya hapo Misugusugu...nikakukmbuka siku nimepanda hilo basi likatuzingua Mombo ikabidi washushe Gear Box na kusubiria nyingine toka Moshi...na siku nyingine tukakaa masaa mawili hapo Mlandizi sijui liliharibika nini...
Yote hayo yakanifanya niwaulize waungwana hapa kama wanalikumbuka hilo basi maana lilikuwa hailiishi maswaibu...

watu8 si useme kama ni kampuni yako jamani ili tujue
nikiambiwa huwa naelewa sana na huwa nakaa kimya.
 
watu8 hapa tunakwenda sawa
kuwa na gari usijali kwani waliokuwa nayo wanayapataje,
na wewe siku yako itafika tu ....Mtumaini sana Mungu wako.

Haya mabasi tatizo ni matambiko yao wanayoweka
si unajua ili kitu inataka sadaka pia, angalia mikoa ya kule kwetu watu wanavyopata shida
hadi kulazimika kulala chini badala ya kulala kitandani, au kulazimika kuvaa kanda mbili tu badala ya viatu
....ikipitilizwa ndo hayo maajali kama hivyo.

Teh teh teh...
Hata bajaj sina sembuse hayo magari rafiki...
Anyway ni hivi rafiki, nilikutana na hii picha mahali...kichwani kwangu nikajawa na mawazo mengi kuihusu...nikafikiria ajali hiyo ya hapo Misugusugu...nikakukmbuka siku nimepanda hilo basi likatuzingua Mombo ikabidi washushe Gear Box na kusubiria nyingine toka Moshi...na siku nyingine tukakaa masaa mawili hapo Mlandizi sijui liliharibika nini...
Yote hayo yakanifanya niwaulize waungwana hapa kama wanalikumbuka hilo basi maana lilikuwa hailiishi maswaibu...
 
Last edited by a moderator:
65867-By_air_or_by_bus_When-Dar_es_Salaam.jpg
 
Back
Top Bottom