Na nyingine kule Mnazi Mmoja karibu na Jengo la Ushirika "CTN"
Hii kampuni baada ya kuwa chinja chinja wakabadili jina la kampuni kwasababu watu walikuwa wanayakimbia haya mabasi saizi wanajiita Kilimanjaro Express.ukipanda kilimanjaro ujue umepanda air masae
Umenikumbusha mbali sana, wale wa matawi ya juu(VIP Class) na watalii wakizungu walikuwa wanapenda sana kusafiri na basi la FRESH YA SHAMBA. Hilo basi mbali ya kuwa ni Luxury lilikuwa na upekee wake, kwa mfano Lilikuwa na Rangi nyeupe kabisa, Nauli yake iko juu sana, Ni lazima ukate tiketi siku moja kabla(Booking), Halisimami ovyoovyo njiani, kuna wahudumu wanatema ung'eng'e, Kuna Stereo muziki laini nk.
Nakumbuka 'ascent' ya kike ya mzungu kwenye tangazo lao kupitia Radio One mwaka 1996 ikisema ''Safiri kwa raha mustarehe na mabasi ya Fresh ya Shamba''
Humo utasafiri na Watalii, wafanyabiashara mashuhuli, Wakurugenzi, Wabunge, Wakuu wa mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wanandoa wapya(Honeymoon)
hapa ndipo nakata tamaa na Watanzania jinsi tunavyofanya mambo yetu.Huyo jamaa alikuja akabadilisha jina la hilo basi akaliita FRESH COACH,,,naskia alikopaga mabasi kule scania, yakamshinda kufanya marejesho wakaja wakamnyang'anya mabasi...
Hili jina linanitisha
Lilipata ajali likaua watu wengi sana kama sijasahau
Na nyingine kule Mnazi Mmoja karibu na Jengo la Ushirika "CTN"
Shabaha, Ngorika, Amazon, Buffalo....
hapa ndipo nakata tamaa na Watanzania jinsi tunavyofanya mambo yetu.
Huwezi kuamini kuwa introduction ya basi la Scandinavian kwenye route ya Nairobi - Kampala liliwafanya wapanda ndege njia hiyo kufikiria basi maana walikuwa wanaenjoy countryside kwenye kiyoyozi na choo ndani mpaka watu waliokuwa hawatujui vizuri wakaamini kuwa Tanzania ni sehemu iliyoadvance sana mpaka kuwa na mabasi dizaini hiyo!!! Sasa ukiuliza huo 'ufalme' ulipoishia huwezi amini!
Hahah wengi tuliosoma mikoa ya huko kaskazini hilo basi limetubeba
Huyo jamaa alikuja akabadilisha jina la hilo basi akaliita FRESH COACH,,,naskia alikopaga mabasi kule scania, yakamshinda kufanya marejesho wakaja wakamnyang'anya mabasi...
kama miaka minne ilopita nilikuwa natafuta basi la haraka pale ubungo kwenda arusha, nikajikuta kwa bahati mbaya nimepanda FRESH COACH sababu nilikutana na jamaa yangu wa zamani yeye ameshakata tiketi na yumo ndani anasubiri liondoke. Nami nikakata tiketi yao, tukaondoka saa mbili asubuhi,,,,,yaani nilifika arusha saa sita na robo usiku,,,,gari limechoka vibaya mno, si bodi, si siti, si injini gari imechoka mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaya, gia liva wamefunga mpira isifyatuke, gari haina pulling kabisa.
kitu fresh ya shamba amebaki nacho labda ni fresh coach restaurant pale moshi mjini
NA LUMUMBA dar kwa anaposema lilikuwa basi bomba hakosei hata kidogo
View attachment 100822
hapa ndipo nakata tamaa na Watanzania jinsi tunavyofanya mambo yetu.
Huwezi kuamini kuwa introduction ya basi la Scandinavian kwenye route ya Nairobi - Kampala liliwafanya wapanda ndege njia hiyo kufikiria basi maana walikuwa wanaenjoy countryside kwenye kiyoyozi na choo ndani mpaka watu waliokuwa hawatujui vizuri wakaamini kuwa Tanzania ni sehemu iliyoadvance sana mpaka kuwa na mabasi dizaini hiyo!!! Sasa ukiuliza huo 'ufalme' ulipoishia huwezi amini!
Lakini tuwaombee Dar Express maana walikuwepo kabla ya hapo na bado wapo, pia na kampuni kama Najmunisa zimejitahidi katika suala la kuendelea kuonekana barabarani. Ukiuliza Akamba wanakuonyesha mabasi ya mwaka 70. Siasa zinaharibu mambo hapa!