aibu ya mwaka

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
MWANAUME mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 34-35 alipata aibu ya mwaka baada ya kuadhirika ndani ya daladala kwa kile kilichodaiwa ni matamanio yaliyomshika na kushindwa kujizuia.
Mwanaume huyo alijikuta akiadhirika ndani ya daladala linalofanya safari zake Tandika Gongolamboto kwa kuweza kujichafua kwa kujimwagia manii na kuchafua suruali yake aliyoivaa.

Hali hiyo ilijitokeza jana majira ya jioni ndani ya usafiri aina ya daladala baada ya msichana aliyekuwa mbele ya mwanaume huyo kushwangazwa kuona ameloweshwa na alipojichunguza alibaini alikuwa amechafuliwa na mwanaume huyo.

Mwanamke huyo alianza kumshambulia kwa maneno machafu na ndipo watu walipogundua kuwa aliyefanya uchafu huo ni mwanaume huyo kwa kushindwa kujizuia kutokana na kugusana na mwanamke huyo katika usafiri huo.

Hivyo baadhi ya watu walimsihi mwanaume huyo kuwa kitendo alichokifanya si kizuri huku wengine wakimtaka asiwe nakaribiana na akina dada kwa kuwa alikuwa hana uvumilivu pindi anapokaribiana nao.

MWanaume huyo aliona aibu ndani ya basi hilo kwa kuwa aliweza kulowa maeneo ya mbele ya suruali yake na alishindwa kujizuia na alishuka kituo kinachofuata baada ya kugundulika

Hata hivyo dada huyo alitaka amng'anga'anie ampelekea kituo cha polisi lakini watu walimsihi asifanye hivyo kwani ilikuwa bahati mbaya aliweza kutetewa na baadhi ya wanaume ndani ya daladala hilo
 
Hihihiiiii!!! Balaaa, ila si kosa la jamaa. Inawezekana pia huyo mwanamke alikuwa na provocative movements, si unajua tena kila mtu na tabia zake bana huko kwenye misongamano ya daladala? Wanawake wengine akili kum-kichwa, wengine hutafuta kesi huko njiani, wanajua fidia inatoka fasta hata mahakamani kesi haifiki. :eyeroll1:
 
Kama ungepata ata picha ya uyo mdada naona ningecomment vilivyo maana unaweza kuta alipiga pamba za matamanio
 
masikini mkaka wa watu. na mavazi yetu haya ya siku hizi! mtu kama huyo mie namsamehe tu na kuomba wanaomfahamu kumshauri juu ya self control, hakuna hata haja ya kumtukana
 
masikini mkaka wa watu. na mavazi yetu haya ya siku hizi! mtu kama huyo mie namsamehe tu na kuomba wanaomfahamu kumshauri juu ya self control, hakuna hata haja ya kumtukana
utacontroll vp hali inakuja automatic
 
Du! jamaa bao lilikuwa njenje tu kwanini asipige punyeto kama alikuwa anakosa wanawake!.
umesahau kipindi cha utoto ukiwa umelala huwa inatokea hii kitu hasa ukiota ndoto za ajabu!
 
utacontroll vp hali inakuja automatic

sio automatic kivile mkuu, huwa inachochewa kimtindo kuelekea gravity. i hope you understand. in this case, too much concentration on buttocks, thighs, breasts and all other attractive female parts is harmful. try to stay away and be free from your own eyes-led temptations. its safer
 
masikini mkaka wa watu. na mavazi yetu haya ya siku hizi! mtu kama huyo mie namsamehe tu na kuomba wanaomfahamu kumshauri juu ya self control, hakuna hata haja ya kumtukana
Ubarikiwe kwa kuwa na fikra za kusamehe namna hiyo. Ni kweli mwingine hata kama alivaa vibaya angeona amedhalilishwa kwa makusudi. Matukio ya namna hii yanazidi kuwa mengi.
 
Ubarikiwe kwa kuwa na fikra za kusamehe namna hiyo. Ni kweli mwingine hata kama alivaa vibaya angeona amedhalilishwa kwa makusudi. Matukio ya namna hii yanazidi kuwa mengi.

man watu wanafikishwa mpaka mahakamani kwa ishu kama hizi yaani huwa inasikitisha sana!
 
Pole zake kaka watu,duh hii inaumiza........!:plane:

ingeuma zaidi kama watu wa mle kwenye daladala wangekua wanamjua!!!au wanaishi nae jirani maana jamaa angehama na mtaa na bahati mbaya ukute ana mke na familia!
 
sio automatic kivile mkuu, huwa inachochewa kimtindo kuelekea gravity. i hope you understand. in this case, too much concentration on buttocks, thighs, breasts and all other attractive female parts is harmful. try to stay away and be free from your own eyes-led temptations. its safer

Ushauri mzuri sana huu mdogo wangu Miss Judith, nawaomba nyie wanaume muzingatie huu ushauri kutoka kwa huyu dada ambao umekaa kimaadili na kiroho. Kumbukeni amri ya Mungu inasema "Usimtamane mwanamke asiye mke wako". Wanaume mkizingatia hilo mbona mtakuwa salama tu huko kwenye daladala, na hata ukipita beach ukawaona wanawake wamevaa bikini wewe teleza tu hata usiwa-mind!!!!
 
Back
Top Bottom