sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Suala la sex lina uzito sana ndani ya ndoa hasa kwa mwanaume ambae kaumbwa na matamanio makubwa kwenye ya libido / sex drive.
Unapoona mwenzako uchumbani kwenye suala la mchezo ni mpaka ajivute vute, hadi umuhonge, umbembeleze sana na pengine hana hisia kwenye sex basi huyo ni wa kupiga na kusepa, usije fanya kosa la kumuoa, usijiroge uingie nae kwenye ndoa.
Yapendeza kumuoa mwanamke ambae ana feeling na wewe wakati wa mtetemo, sometimes yeye ndie anaku tease muingie kwenye mtetemo, n.k.