Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Ni kweli lakini ni hatari zaidi anapokuwa nazo punguani kama Ahmadinejad.
Nadhani ajamzidi bush!
Ni kweli lakini ni hatari zaidi anapokuwa nazo punguani kama Ahmadinejad.
Iran wana-take adavantage kwa kuwa wanajua Americans cannot afford kuingia katika vita kwa sasa.
Also,it will press a war with Israel.
Un imeshindwa kufanya kazi vizuri,lakini pia wanahitaji nguvu ya kuungwa mkono na Mid-east,pamoja na China ili waweze kuizuia iran.But also,US watapata kazi sana kupata support ya CHINA kwenye kupiga kura za kuiwekea vikwazo Iran especially time kama hii ambayo relationship kati ya US na China iko strained after the former kuiuzia Taiwan Silaha.
Suluhisho pekee la kuondoa nuclear duniani ni ku-implement Un resolutions on armament and diasarmament kwa mataifa yote duniania though it's imposible.
Hahahahaha! marekani ameshindwa kwa watalebani mpaka leo ataweza kwa Irani? Aliweza kumtoa Saadam baada ya kupata usaidizi wa nchi nyingine. Rudi katika historia utaona mmarekani amekuwa akishinda vita kwa taabu sana, hata nchi ndogo kama Vietnam ilimtoa jasho.
unahaki ya kucheka, kwani Watelebani ni jeshi la taifa ama genge la magaidi, WAARABU WOTE KWA UJUMLA WAO wanaweza kupigwa na USA, ila amani USA haiwezi kuleta kwa mtutu wa bunduki asilani......Hahahahaha! marekani ameshindwa kwa watalebani mpaka leo ataweza kwa Irani? Aliweza kumtoa Saadam baada ya kupata usaidizi wa nchi nyingine. Rudi katika historia utaona mmarekani amekuwa akishinda vita kwa taabu sana, hata nchi ndogo kama Vietnam ilimtoa jasho.
Kivipi ni punguani? Kaivamia nchi gani kwa pretext za uongo kama Marekani na mahabithi wenzake?? Ahmedinejad au Iran wana-occupy ardhi ya nchi gani kama Wazayuni dhidi ya ardhi ya Wapalestina?? Ahmedinejad au Iran imewahi kutumia lini silaha za maangamizi dhidi ya nchi nyengine??? Kama Saddam wakati bado akiwa puppet wa MAREKANI ndiye aliyetumia kwa baraka za Marekani na washirika wake dhidi ya Iran??? Kama Marekani walivyotumia silaha za maangamizi dhidi ya Hiroshima na Nagasaki???
Wacha upumbavu wa kasumba za kimagharibi, face facts!!!
Wacha upumbavu wa kuwaabudi wakamua mavi maiti.waarabu ni watu hatari sana Dunia leo iko hali tete kwasababu ya Waarabu
unahaki ya kucheka, kwani Watelebani ni jeshi la taifa ama genge la magaidi, WAARABU WOTE KWA UJUMLA WAO wanaweza kupigwa na USA, ila amani USA haiwezi kuleta kwa mtutu wa bunduki asilani......
Israel tu, anatetemesha Arabuni kote, aaah usifananishe Maji na MAFUTA ya kula....Marekani ni ulimwengu mwingine katika uwanja wa vita....narudia lakini si katika kuleta AMANI....funguka macho.
Wakati IRAN wanashangilia leo kumiliki Nuclear mwaka 1945 USA alikua nayo tayari...
Tumaini agenda zako ni za kijihad.Umesema Marekani ni waoga ,malaya na mashetani.dini yako inawafundisha hivi.Kuhusu Iran,jujui kama kuna internal strife within,watu hawana haki,ma mullah ndio wameshika usukani.Kuna watu wananyongwa kila siku.
Huyu rais wako wa Iran kipenzi ni circus,anajua washia wenzake wanauliwa ovyo huko nchi za kiarabu,lakini hawezi kulalamika hata siku moja,badala yake ni rhetoric kwa Israel.
kama ujuavyo waarab wengi ni sunni,kama Iran itakuwa nuclear,basi Wasaud,Waegypt na nchi zote za kiaarabu(sunni) zitataka kuwa na nuclear bomb.Kusema Clinton(malaya) sijui una maana gani,chuki uliyonayo unaweza kulipua .Na hisi uko majuu,wazungu wamekupa kila kitu,unatakiwa uwe deported somalia au afghanistan au Palestine kama utakubalika na watu hao.
Israel itafanya kazi yake,haitaweza kukubali milele kuwa na tishio toka kwa stupid Mullah ambao hawanyoi ndevu zao chafu.
Tumaini,wakume kubrainiwash misikitini.Usije ukatulipua siku moja kwa kutumia suicide mission
kuwa makini acha kushabikia kifoPunguani ni yule ambaye amashawahi kuzitumia silaha za kuangamiza hebu jikumbushe historia ya Hiroshima na Nagasaki ya tarehe 6 August 1945, je unajua ni marekani aliyefanya unyama huo? ukipata wasaa soma katika link hii http://history1900s.about.com/od/worldwarii/a/hiroshima.htm
je nchi gani ambayo imekuwa ikiuwa raia wengi wasio na hatia kati ya Marekani, Israeli na Iran? Je msimamo mkali wa Ahmadinejad kuhusu marekani na washirika wake ndiyo umwite punguani?
una uhakika wewe utapona?Kama wamerakani ni wazuri wa vita si waanzishe hiyo vita na Irani?
Kwanini kelele nakutembea kuomba omba msaada kwa dunia nzima?
Wamerakani ni waoga, malaya na mashetani..kama wao wanaume kweli waanzishe vita tuone America VS. Irani ..nitafurahia sana hiyo siku??
Wameanza kutembeza bakuli la kuomba wamempeleka malaya wao (clinton) waarabu wawasaidie kupigana badala yao ..damn
una uhakika wewe utapona?
Tumaini alianza kwa wapalestine,sasa yuko kwa iran,kesho atakuwa kwa wa PAKI,
lakini Tumaini bado anajiita Mtanzania.Ulaya itapata shida sana miaka ijayo kwa kuwaruhusu
Waislamu design ya Tumaini,maana baada ya 77 bombing na attack ya Glagow airport na hawa watoto wa Allah duniani itawekwa ransom na hawa terrorist.
America imesheelewa ,lakini Ulaya viongozi bado wako political correct.Wananchi wameelewa ,hata uwape nini ,watataka sharia law,baade kuwaforce wanawake wavae kitaliban,hapo civilisation itakwisha.tanzania hatutakuwa immune
Ni kweli lakini ni hatari zaidi anapokuwa nazo punguani kama Ahmadinejad.
walisema hayo hayo kabla ya vita ya Pili ya Iraq kuwa itakwaa kisiki, maana Sadam na JESHI lake la Taifa wako makini sana, na wanauzoefu wakutosha.Kama wamerakani ni wazuri wa vita si waanzishe hiyo vita na Irani?
Kwanini kelele nakutembea kuomba omba msaada kwa dunia nzima?
Wamerakani ni waoga, malaya na mashetani..kama wao wanaume kweli waanzishe vita tuone America VS. Irani ..nitafurahia sana hiyo siku??
Wameanza kutembeza bakuli la kuomba wamempeleka malaya wao (clinton) waarabu wawasaidie kupigana badala yao ..damn