Ahmadinejad: Iran is now a nuclear state


Ni kweli lakini ni hatari zaidi anapokuwa nazo punguani kama Ahmadinejad.

Mimi nafikiri America had an history of using WMD kuliko hata Iran, America had an history of intervening internal affairs be it Tanzania or else where, mimi nafikiri the good thing these so called super powers should do is just monitoring Iran not engage in dangerous nukes programs rather than denying Iranian scientific development. I think all those signatories to the civilians nukes programs have right to engage in the business, Tanzania has got right to install the centrifuges for electricity generation, so let it be Iran or Tanzania we have the right when we think we want to advance in technology applications.
 
I don't support any nation having nuclear arms be it America or Iran.
Hizi ni ndoto. Sipendi kupoteza muda wangu katika ulimwengu wa ndoto.

Ukweli ni kwamba hakuna nchi hata moja kati ya zile zilizoendelea yenye wazo la kutokuwa na Nuclear. Swali tufanyeje sasa ?

Jibu ni kila nchi duniani kuwaza au kuwa na mpango wa kuwa na nuclear. Wazo jingine silioni. Ahmedneja ni The smartest president kati ya maraisi wote duniani.

Ingelikuwa ni rahisi kuhamisha maraisi kama wachezaji wa mpira ama makocho, basi ningekuwa tayari kumlipa aje kuiongoza Tanzania 2010-2015.
Angeisafisha mpaka doa la mwisho na tungepaa kama jetfighter.

Ni wakati muafaka kwa Afrika kufikiria mpango wa Nuclear. Tatizo la umeme TZ haliwezi kwisha hata mkibadili madirector 100. Mtasema Rashid(mkurugenzi Tanesco) hafai, tatizo sio lake ni la kutokuwepo kwa Nuclear.

Hongera Ahmedneja, Mungu akulinde na mipango yako ifanikiwe.
 
I don't support any nation having nuclear arms be it America or Iran.

Burudika na mawazo ya Afrika katika utandawazi.


"Uganda: Country Turns to Nuclear Power Plants

Charles Kazooba
21 April 2008


Share:



Nairobi — Hamstrung by unpredictable climatic changes that have reduced the water levels in Lake Victoria and the amount of hydroelectricity generated by dams along the River Nile, the Ugandan government is turning to the more predictable nuclear power.
The country's Energy and Mineral Development Minister, Daudi Migereko, estimates that Uganda will be in a position to generate nuclear energy from its uranium deposits within the next 10 to 15 years." Chanzo: AllAfrica.com



Kenya: "The Ministry of Energy is currently working on a Cabinet paper, which is expected to be ready for discussion by end of January. â€Å"It is a government policy to diversify our energy sources. We have agreed that we go nuclear (in power generation) and we are totally committed to that,” Energy Permanent Secretary, Patrick Nyoike, told the Smart Company in an exclusive interview on Friday." Chanzo: Daily Nation.

Haya ndio mawazo ya viongozi wa nchi jirani Afrika masharika ambao tunatarajia kuungana nao. Je viongozi wa Tanzania wanasemaje? Au ndio bado tuko katika ukimya wa kila siku. au Take no position.
 
Ni ripoti basi kwa mabwana zako
Tumain siamini kuwa kwako Muislamu ndiko kunakokuongezea uduni wa fikra, nakweli naamini lipo tatizo la kimalezi kwa namna unavyopenda jazba katika mijadala yenye afya, mbona wewe si mvumilivu.................ama afya yako ya akili inamushkeri.
 
walisema hayo hayo kabla ya vita ya Pili ya Iraq kuwa itakwaa kisiki, maana Sadam na JESHI lake la Taifa wako makini sana, na wanauzoefu wakutosha.
Ambacho bado hamuamini kushinda vita hii ya kisasa haitaji kelele na majisifu kama Iran, Taifa la Uyahudi pale linawatesa miaka nenda rudi.
kupigwa Iran ni swala la kimkakati, lakini sitaki kuamini kama wao wanajeshi Imara hata kupigana na A frika Kusini, ama Misri.
Na kwenye kujibu hoja hupaswi kuleta matusi, ni upi Umalaya wa Bibi Clinton, sikushangai , ila ni tatizo la kimfumo na kimalezi....unajua chanzo chake...

Nani anayefanya kelele Iran au America? America si inaomba misaada dunia nzima iwasaidie? katika vita yao au huoni hilo umekuwa kipofu?

Israel ni cancer of the world peace lakini siyo topic hapa! weka kwenye thread nyingine

Ha ha usilete matusi, sijajua kama JF ni kituo cha kulea watu tabia zao..after all siwajibiki kwako kuwa na tabia njema agh! pole

Nenda kaangalie maana ya malaya ni mtu anayetembea ovyo..ndicho nilichomaanisha kama nime offend bwana wako sorry!
 
Tumain siamini kuwa kwako Muislamu ndiko kunakokuongezea uduni wa fikra, nakweli naamini lipo tatizo la kimalezi kwa namna unavyopenda jazba katika mijadala yenye afya, mbona wewe si mvumilivu.................ama afya yako ya akili inamushkeri.

Fikra duni accordhing to whom? wewe nikisema unayo fikra duni utabisha?

Malezi JF siyo kituo cha kulea tabia acha kujidanganya pole

Ha ha eti akili ina mushkeri unafurahisha sana..leta hoja nyingine....umeishiwa nafikiri aliishiwa hoja ndio ana matatizo while pointing at me four fingers point at you..lol
 
The US government has agreed to pledge more than $8 billions in loans to build the country's first new nuclear power plant in 30 years.

"This is only the beginning'' of the administration's efforts to increase the use of nuclear power, said President Barack Obama
.

Kwanini wao Wamarikani wanajenga wanatka Irani wasijenge? mwenye akili aambiwi tezama!!
 
Fikra duni accordhing to whom? wewe nikisema unayo fikra duni utabisha?

Malezi JF siyo kituo cha kulea tabia acha kujidanganya pole

Ha ha eti akili ina mushkeri unafurahisha sana..leta hoja nyingine....umeishiwa nafikiri aliishiwa hoja ndio ana matatizo while pointing at me four fingers point at you..lol
Mpofu, mpotovu, mdini , mshari, mshamba, usie elimika,mtu dhalili ....mmmh
 
Back
Top Bottom