Ahaa umaskini na njozi bwana!

Said maneno

Member
Aug 2, 2011
38
2
Kweli ukistaajabu ya sungura utayaona ya sisimizi kuchimba mashimo.umaskini ni kazi jamaa wanaulizana ni ndoto gani za utajili walizonazo kila m2 ana lake mara huyu nimeota nimeokota mahela,mara nimeokota dhahabu na wa mwisho kaota eti mtoto wa RaiS WA DUNIA ANAMTAKA tena kaota anakaribia kufunga ndoa.tehtehteh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom