Agizo la Rais: Watumishi wa Muhimbili waanza kuhamia Wizara ya Afya kupisha wagonjwa wanaolala chini

Inawezekana magufuli aliwavamia ofisini akakuta wanacheza karata na kuchati akaona bora watimuliwe tu hawa faida yoyote
 
Iko siku mtu ataambiwa kula kinyesi chako, na atavua nguo na kunya kisha kula kinyesi chake bila kufikiri mara mbili kwa hii nidhamu ya uoga inayopandikizwa
Kweli nidhamu ya woga badala ya heshima ya kazi ni mbaya sana. Hata hivyo natumaini hatutafikia hatua ya "nyaku" na kula "kisinye" eti kwa sababu unamwogopa JPJM au mmoja wa viranja wake.
 
Da hadi raha asee!!
Hapo kina mama hao hata kama wamevunjiwa nyumba, ukifika wakati wa uchaguzi watampigia kura tu.

Isitoshe ikifikia mh. Magufuli kumaliza ungwe take ya pili (10yrs in president lead) wananchi wanaweza kumwambia "Mzee another 5years".. !
 
Five years ya nn? We umurogwa ndugu yetu kila mtu anautashi wake wa kuongoza na je kama atakaye fuata akawa mzuri zaidi jpm unajuaje?
 
Hapa kazi tu iende na weledi na maarifa.Fikilia mtu aliyeamua kujidamuka asubuhi kuwahi kazini na kufika kwenye barabara safi linalopitisha magari vizuri na kutumia msemo wa HAPA KAZI TU na kuchimba shimo kubwa katikati ya barabara bila sababu ya maana zaidi ya kusema anatekeleza usemi wa hapa kazi tu.
 
sijui hospitali yenye changamoto ni Muhimbili tu ?
sina uhakika kama kuwalaza wagonjwa hadi ofisini na maabara ndio kutatua tatizo..
kwa nini hatukai chini tukatafuta ufumbuzi wa kudumu?
nahofia na hizo ofisi zikijaa wengine watalazwa mahotelini..
NAJIVUNIA SIKUTOA KURA YANGU KWA MTU MWENYE KAULI MBILIMBILI ZINAZOKINZANA..
ANAETENDA NA KUWAZA BADAE.
 
Hivi unadhani unawazidi akili hao walioamua kuweka hiyo ofisi hapo ma siyo sehemu nyingine?unafahamu kazi za hiyo ofisi?majukumu yao ya kila siku?

Siyo kosa kuwepo kwa hiyo ofisi, subiri na hiyo wodi itajaa tena, wataamisha ofisi nyingine zilizopo?

Suluhisho ni kujenga wodi kubwa za wazazi zenye miundo mbinu thabiti na timilifu siyo kuhamisha ofisi halafu wagonjwa waanze kufunga safari za wizara ya afya tena

Anyway kasema boss, inapaswa kutekelezwa
Bila shaka wewe ni mwenyeji wa Kishumundu,uelewa wako umekaa kishumundu mundu.
 
kutokana na sakata la watumishi wa wizara ya afya kuhamishwa kutoka hospital ya muhimbili kupisha jengo walilokuwa wanatumia kuwa wodi ya wakinamama namshauri NGOSHA hao wafanyakazi wawe watu wa mwanzo kuhamia DODOMA kwenye satelite city ya serikali wakaanzishe makazi mapya faida zake ni watapunguza foleni hapa mjini na watasaidia kuwashawishi taasisi na wizara nyingine kuhamia dodoma
 
Back
Top Bottom