Bahati mbaya kuita ombaomba polisi hakumpatii mtu umaarufu; kunaweza hata kumgeukia. Hii ni serikali inayoendeshwa kwa misifa (populism). Haina mpangilio maalum kimkakati. Watu wanashindana kutoa matamko yenye kuwaletea misifa kama mkakati wa career development. Bosi mkuu mwenyewe ndiye mwenye kuendekeza hiyo mediocrity.
Baada ya Makonda kupata "umaarufu" katika hizi harakati zake uchwara za "kupambana na biashara ya madawa ya kulevya", mpuuzi mwingine huku anaamkia kuita "mashoga" Polisi - akijua tu kwa kauli hiyo ya "kupambana na ushoga" basi Watanzania wengi hawajiulizi tena zaidi ya kupongeza; manake wengi hata yeye mwenyewe hawajui "mdudu" shoga hasa ni nani. Kwanza, hawana hata uwezo wa kutofautisha kati ya shoga na kahaba (awe ke au me).
Akae chonjo tu asijeshangaa kukuta baadhi ya mabosi wake hata ndugu zake ni mashoga "waliojificha". Tofauti na wanavyofikiri wengi mashoga wenyewe hasa hawana alama rasmi za utambulisho (tell tale marks) wala hawajitangazi kirahisi (rejea kina Anderson Cooper wa CNN, marehemu George Michael, n.k.) kama utaweza au ungeweza kuwatambua kama mashoga kwa kuwaangalia na kuwasikiliza tu.
Think againBeing gay is not a life style choice. Sooner Kigwangalla learns this, the better for all.
Geffy, mtazamo wako upo sawia. Hawa watu lesibians and gays sio watu wa kushambuliwa au kunyanyaswa katika jamii. Tunatakiwa kuwaeleza nini cha kufanya ni watu ambao wanahitaji msaada wetu. Hali waliyonayo nikama ulemavu. Kuwakamata na kuwaweka jela ni sawa na kumkamata mlemavu na kumnyanyasa kisa ulemavu wakeMjomba - awa hormosexual (lesbian/gay) wanazaliwa wakiwa na hizo hormone, kadri wanavyokua hizo hormone uongezeka....
Pasipo wao wenyewe kujua uanza kutamani kufanya mapenzi kwa kuona,kugusa au kuisi anaweza kufanya vile jinsia tofauti inavyofanya....
Smart911 , try to think more deeply. Hawa mashoga ni ndugu zetu... Tunatakiwa tuishinao ikiwezekana tuwasaidie.Hawa wanaowatetea wanaendaga kuswali/kuomba kwenye nyumba za ibada??
Siamini na sitaki kuamini kbs kwamba hawa ma LGBTI persons wameomba kuwa hivyo. Sababu za wao kuwa hivyo ni za kibaolojia zaidi. Mimi siungi mkono matendo yao lakini badala ya kuwakamata na kuwaweka ndani.... Wasaidiwe kivingine.Smart911 , try to think more deeply. Hawa mashoga ni ndugu zetu... Tunatakiwa tuishinao ikiwezekana tuwasaidie.
Hata hivyo sisi wenyewe ambao sio mashoga ,sisi sio malaika au watakatifu. Tunatenda dhambi mara nyingi. Haifai kuwabagua na kuwahukumu.
Sasa inshu iwe ni kutafuta kwanini watu wanakuwa mashoga, hawa jamaa ni kama wanapenda tu hili tabaka likue na liendelee tu kuwepo. Hizo pesa wanazozitumia kuwatetea kwanini zisitumike kufanyia utafiti hawa ndugu zetu wapatiwe dawa ya huo ulemavu wao?Smart911 , try to think more deeply. Hawa mashoga ni ndugu zetu... Tunatakiwa tuishinao ikiwezekana tuwasaidie.
Hata hivyo sisi wenyewe ambao sio mashoga ,sisi sio malaika au watakatifu. Tunatenda dhambi mara nyingi. Haifai kuwabagua na kuwahukumu.
Makengeza ya fikra hayo mkuu. Je, wewe hapo ulipo ni mtakatifu???? Hujawahi tenda dhambi yeyote ile.... Jichunguze kwa makini kabisa.kama vipi wanyongwe kabisa...
just imagine...una toto bwabwa na kila ukipita mtaani unanyooshewa vidole...
"YULE BWABWA BABA YAKE NI YULEE !"
unajikuta unajutia hata kuzaa, laana hii.
ni Shida hakyamnguKumbe mikorosho inawatetezi
Umeona Eeeh yani wanashadadia Ujinga.....wakat kuna mambo Mengi tu ya kufanyaWanaacha kutetea mambo ya maana wanatetea upuuzi