kakakuonap
Member
- Sep 4, 2010
- 14
- 0
Watanzania wengi watakumbuka kwamba suala la madini kunufaisha umma wa watanzania limesimamiwa ipasavyo na Mhe. DR. Jakaya Mrisho Kikwete katika kusimamia na kutekeleza Ilani ya CCM kama alivyowaahidi watamnzania 2005. Na katika kuwahakikishia watanzania kwamba yupo makini katika sekta ya madini aliwachagua Zito Zuberi Kabwe , Mbunge machachari kutoka upinzani na Dr. Harrison Makyembe Mbunge makini kutoka CCM kuwa kwenye kamati ya madini, a,bapo pamoja na mambo mengine walipitia mikataba na wakatoa mapendekezo watanzania wote wanajua, na Dr slaa anajua na wewe msomaji unajua jee utavunja hiyo rekodi??? Kila Mtanzania ameona faida ya ile tume na tumempa JK big up!!!
Agenda ya madini ni ya JK Slaa usiivamie tafuta nyingine
Agenda ya madini ni ya JK Slaa usiivamie tafuta nyingine