Agelina Jolie kamwaga Brad Pitt kaopoa kibabu upara!

You will never understand them ..but at least kibabu kina muda....,maana Angelie Kama ni sex at that age kashaenyoy Kwa takribani Miaka 25 ya active sex ...SASA anataka attention ambayo Kwa vijana hawezi kuipita wala muda
Yah is trueeeeeeeee
 
Barbarossa huwa linaandika kama limekatwa kichwa Rais Magufuli!
 
Umeshawahi kujiuliza wanawake wanapatwa sana na wanaume wa aina gani!1.Wenye pesa,ambao hijalishi ni muongeaji au la,ana maumbile makubwa au madogo,ni fundi au sio fundi,ni mkatili au mpole nk.2.Waongeaji sana,hawa haijalishi wana hela au la na kama ilivyo hapo juu hapo no.1,ni utaalamu wake wa kugeuza geuza maneno unawafanya wana nasa kiulaini.Sasa kwa huyo Angelina Jolie lazima kutakuwa kuna kimoja kati ya hivyo viwili kilichomvutia.
 
Wewe barbarosa acha umbe wako, alafu kutwa hapa kutukana IQ za watu as if wewe mwenyewe unaelewa hata maana ya IQ.

Alafu kama hauna mada ya kuweka kwenye international forum si uache tu kwani lazima ujitutumue wewe chichiem? Wewe baki jukwaa la siasa kule uendelee kuleta mada za zidumu fikra za mwenyekiti wa chichiemu.

Alafu huyo unayemuita demuuuzi, pamoja na shughuli zake kwenye tasnia ya usanii, ujue wewe na viongozi wako wooooote huko chichiemu humuezi kumfikia hata kidogo kwa kazi za kisiasa na humanitarian missions anazofanya kwenye mataifa ya hapa duniani... Na pia huyo unayemuita kibabu ni mmoja wa viongozi wanaoheshimika sana hapa duniani. William Hague baada ya kuwa mwanasiasa wa kuchaguliwa kwa muda mrefu mwaka 2015 kwa utashi wake kabisa na kwa heshima na taadhima aliachia ngazi ya u-foreign secretary wa taifa kubwa kama la uingereza, ili tu apate kujiandaa ku-retire... Huwezi kabisa ukamlinganisha na wababu wengine wa huko chichiemu yenu ambao the only way hatutawaona madarakani ni mpaka wapewe vichapo vikali na "mademuuuuzi" wadogo kama Easter.
 
Sio Kweli by the way Brad Pitt alimpenda Angelina Kwa hali zote kipind Angelina ame survive Breast Cancer jamaa alikuwa nae all time daah
Angalia na sabab alizotoa Angeline kwanini ameamua kumuacha? angekuwa amemuacha sabab ya mwanaume mwengine ungeongea hayo ila JAMAA ANAVUTA BANGI, ANAKUNYWA POMBE ANA MAHUSIANO NA MWANAMKE MWENGINE (Baada ya angeline kuweka investigator akagundua hayo) na pia BRAD Alikuwa ana wafokea fokea watoto yani hayuko sawa juu ya watoto, Angeline amefanya hayo pia kwa kuangalia future ya wale watoto wanajifunza nini kwenye familia yenye maugomvi kila siku. WAZUNGU HAWANA UNAFIKI KATIKA MAPENZI. UKIZINGUA NA KUKUCHOKA HAKUVUMILII ATAKUTOSA AWE HAPPY, Sio waafrica, Mwafrica hapo angetafuta mchepuko ajiliwaze mnaona ndoa yatimiza miaka 40 kumbe kila mtu ana yake.
 
Back
Top Bottom