Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Hawa ndiyo Wanawake bhana, kama ulifikiri unawaelewa, basi hakuna kitu unajua, Angelina Jolie (41) kamwaga one of the most attractive Whitemen Brad Pitt (52) na sasa kaopoa kibabu chenye upara ktk nchini Uingereza, kijulikanacho kama William Hague nasikia ni Mwanasiasa huko nchini Uingereza!
Sasa utajiuliza hiki kibabu kina nini ambacho Brad Pitt hana? Go figure! Hao ndiyo mademuuuuuz!
Angelina Jolie na Kibabu chake kipya kiitwacho William Hague!
Sasa utajiuliza hiki kibabu kina nini ambacho Brad Pitt hana? Go figure! Hao ndiyo mademuuuuuz!
Angelina Jolie na Kibabu chake kipya kiitwacho William Hague!