Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 289
Does a vast age difference in relationships mean that the relationship is bound to fail? Or is it something that couples can work on togeth
mwanzoni ndo age is nothing but number lakini halihalisi ya kupishana kiumru ikiingia manake watu huwa wanapenda vitu tofauti kwasababu ya kizazi chao. Sasa kama mwingine amekulia bongoflava na mwingine kanda bongo mani utavumilia mwishowe labda mmoja amfuate mwingine kila apendacho na afayacho.Age is nothin but a number
Does a vast age difference in relationships mean that the relationship is bound to fail? Or is it something that couples can work on togeth
Age is nothin but a number
wangu namzidi 10 years 36 to 26 hapo je?
Does a vast age difference in relationships mean that the relationship is bound to fail? Or is it something that couples can work on togeth
Alichosema mwalimu wako ni ukweli kwa maana ya kwamba wasichana huingia kipindi cha kubalehe mapema kuliko wavulana , lakini ingawa wavulana huchelewa kwa miaka miwili wastani, pengo inasawazishwa kadri wakati unavyopita. Kwa hiyo, msichana mwenye umri wa miaka 10 ndiye sawa na mvulana wa miaka 12 (kwa wastani), lakini baada ya kubalehe kwao kuisha, wanaume hawatofautishi kwa wanawake anymore kiumbo au kiakili (again, on average).kuna mwalimu wangu mmoja enzi zile alikwa anatushauri tuachane na visharobaro na mwanaume mzuri ni yule aliyekuzidi 5 or 10 yrs. kwasababu wanawake wanakuwa haraka ki umbo na kiakili. thats mean mwanamke wa miaka 30 kiakili ni sawa na mwanaume mwenye miaka 35 na kuendelea.
na kweli nikitizama sasahivi mvulana niliyecheza nae nimemzidi ki sana tu yeye bado ananyonya kwa mama while Im making some penny
Na nikitaka kuwa na partner lazima awe from 5 yrs older than me, sharobaro hawana maana kabisa