Hi?,wanajamvi mimi ni mgeni katika jukwaa la Jf doctor,
Naomba ushauri kwa wataalamu wa mazoezi ya viungo na mwili kwa ujumla.
Mimi ni kijana umri miaka 23. Nahitaji kuwa na Mwili wenye nguvu pamoja na kutengeneza matuta matuta tumboni.
Maeneo ninayokaa hakuna Gym ,hivyo kwa wale wazoefu wa mazoezi nishaurini. Ni aina gani ya mazoezi ninayotakiwa kuyafanya ili nifikie lengo hilo.
Pia naomba kuelimishwa ni vyakula gani vinafaa nivitumie .
Shukurani.