Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,146
- 34,190
Nina ng'ombe watatu nawatoa kila siku kuwapeleka malishoni.
duh kwel ili daraxa huru.!!! sa ka nikweli sijaridhika nisimwambie au hajui kweli kukatika, its a free zone area ntamwambia chochote ilimradi ni cha ukweli ili ajirekebishe..
hata kile cha fasta Ofisini ina maana tukae tukitafakari tuache kufanya kazi siyo? Ngumu kumesa...
kuanza kumuigilizia alikvyokuwa akilalama kwenye game.... mfano alikuwa akiungama maneno fulani then afta gemu unaanza kumdhihaki
hata kile cha fasta Ofisini ina maana tukae tukitafakari tuache kufanya kazi siyo? Ngumu kumesa...
1 (a) kutokusema asante