After -sex-Mistakes

.kuambiwa leo umejitahidi
.katikati ya game kuulizwa nishawah kuwa na bf wangapi af baada ya hapo aanze kuhoji upya
.akimaliza tu anakimbia kulog facebook,jf.....
 
Kuambiwa leo umejitahidi
Katikati ya game kupigishwa story zisizohusu....nshawah kuwa na bf wangapi
Kumaliza tu na kukimbia kulog facebook,jf.....
 
Endeleza orodha hii...

sisitizo liwe katika kuongea yale yanayofaa kuongewa wakati huo..................kuoga labda iwe mchana lakini usiku ni kuabki kitandani na kufikiria namna ya kuliwazana huku mkiutafuta usingizi........................msipolala ujue ya kuwa kesho mtakua khoi bin taabani...................na punguzeni kurudianarudiana siku hiyo .......na kujichosha eti kisa badi ninahamu na wewe............kumbukeni there is always 2morrow............
 
tena bora awe mke wako unaweza hata kulala nae mpaka asubuhi, ka ni kimwanamke tu cha mtaani yaani hapo unavaa suruali yako na unaondoka hata kumwangalia mara mbili hutaki tena...
 
7. Kushangaa kama ****
lol. Unamshika mwenzio sehemu yake ya siri huku unashangaa shangaa
8. Kumkagua mwenzio mwilini na kuanza kusema maneno mabaya. Mfano, si mchina huyu??
9. Kumvizia mwenzio amesinzia unampiga picha za utupu ili ukajisifie kijiweni
10. Kukataa kumsaidia mwenzio kutafuta kondom kama hamuioni ana kummulika na tochi kama upo mgodini
11. Kuwapigia simu washkaji na kujisifia mabao mangapi umepata ama kusifia 'mzigo' wa leo
12. Kuuliza maswali mfano: mie kidume sio? Wakati unajijua wewe ni zero work na ukimuangalia unaona kanuna basi tu unajikausha
.......... Chekeni kwanza nitarudi baadae.

ha.ha ha ha........................... karucee, you made my weekend..
 
Tendo la ndoa siku hizi limechakachuliwa
Zamani hiyo ilikua ni siku maalum, inamaandalizi yake na utulivu wake
ukiifikiria tu mpaka mapigo ya moyo unayasikia yanaenda mbio

Sasa watu mnafanya kama kununua nyanya sokoni!!!!!?????

Ukisha ziweka kwenye mfuko , utakutana nazo nyumbani

SIJUI!!!?????????????
 
Just turn up the music to another level


Vaislay
 
Last edited by a moderator:
1) kutaja jina la mtu mwingine katikati ya mchezo... 2) kusema toa kidole uweke m++o... wakati ushaweka hicho anachohitaji
 
Back
Top Bottom